Zitto afunga kazi/kampeni Kirumba Mwanza (Picha)

Nchi imeingia mageuzi makubwa kiasi ambacho sasa inakaribia mtu kuona aibu kusema jukwaani zidumu fikra sahihi za chama cha mspinduzi.
We bwana we!bado wapo wasioona aibu.Mtu kama Lusinde ana weza badilika? Hata umpeleke kwa Majimarefu atibiwe haponi maana mwenyewe kakiri ana kichaa cha kuzaliwa.
 
Picha zinaongea mkuu!! Hapa lazima pachimbike, jiji lenye raha hilo!! hakunaga kama Mwanza!!
 
Back
Top Bottom