Acha Uvivu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 524
- 131
great thinkers 100000 sio kitu cha kubeza! Of course wapo mizigo wachache na pia wapo wazee wa vibahasha pia.Ingekuwa umaarufu wake unatokana na kupigiwa vuvuzela, lisipopigwa ningekubali umaarufu wake ungeshuka, lakini umaarufu wa ZZK unatokana na ability!. Aombe msamaha kwa kosa gani, ajutie jambo gani?.
Ingekuwa jf ni wapiga kura, basi saa hizi Chadema ingekuwa Ikulu!. JF ina wanachama laki moja plus!. Hawa ndio Watanzania wote?.
ZZK bado ni maarufu vile vile tena umaarufu unazidishwa na hii Zitophobia kila siku thread 10 -10 za ZZK!.
P.
Mkuu kuna mamilioni ambao sio member humu na wanamchukia zitto kichizi mfano thread inaweza kuwa na member 20 lakini guest 1000 sasa huoni hiyo ni NomaIngekuwa umaarufu wake unatokana na kupigiwa vuvuzela, lisipopigwa ningekubali umaarufu wake ungeshuka, lakini umaarufu wa ZZK unatokana na ability!. Aombe msamaha kwa kosa gani, ajutie jambo gani?.
Ingekuwa jf ni wapiga kura, basi saa hizi Chadema ingekuwa Ikulu!. JF ina wanachama laki moja plus!. Hawa ndio Watanzania wote?.
ZZK bado ni maarufu vile vile tena umaarufu unazidishwa na hii Zitophobia kila siku thread 10 -10 za ZZK!.
P.
​​Wanajamvi, sio kusudi langu kuingilia mtazamo wa mtu yeyote, ila kwa nia ya dhati na uelewa kuhusu uhuru wa kutoa maoni unaolenga kujenga na sio kubomoa, nimeona vema nitoe Ushauri kwa Mkuu Zitto na Kundi lake.
Nianze tu kwa kusema Ukishakataliwa na Jammiforums umekataliwa na jamii nzima ya watanzania na lazima mtu husika uwe makini na idadi ndogo (minor proportion) ya watu wanaoweza kukuhadaa eti wanakuunga mkono hapa jamvini kuliko wale wanaokupinga. Na hasa ukijua kuwa wanachama wa JF ndo wapiga kampeni huko mitaani kuhusu Chama na mwanasiasa binafsi (kumbuka hofu ya Pinda-CCM) juu ya JF.
Kwa kutambua mchango wako (Zitto), achana na hao walala hoi wanaojipendekeza, wakiwemo CCM wanaotaka kukutumia kama tissue, ningeomba haya uyafanye kutoka kwangu kama Mtanzania mpenda mabadiliko na mchukia wanafiki:
KWANZA; Ujutie kile ulichokuwa unakifanya maana huenda ulikuwa hujui ulitendalo.
PILI; Jishushe tu tuombe radhi Watanzania ambao kwa idadi kubwa ni wakulima na wafanyakazi na ambao tunaomba usiku na mchana kuona nchi yetu imekombolewa toka mikononi mwa CCM. Haimanishi ufanye mkutano wa hadhara lakini JF inatosha tu kutupa jibu nasi tutakurudisha kundini, maana kama nilivyo sema hapo juu; UKIKUBALIWA NA JAMIIFORUMS UMEKUBALIWA NA WATZ WOTE. Na kwa kinachoendelea ndani ya chama chako, ambacho umewahi sema huna mpango wa kukihama, onyesha ushirikiano na baada ya kuyamaliza huko ndo uje kwetu.
TATU; Baada ya hayo hapo juu kufanyika, tufichulie wote walioficha mpunga (fedha) huko Uswisi kama ulivyoanza vema na usikate tamaa. Na lazima hili lifanyike baada ya hayo hapo juu kwa sababu hili likitangulia bado halitakurudisha kwenye level yako ya awali. Hakika ukiyafuata haya na ukatuambia wezi tulionao nguoni mwetu tutakurudisha kwenye form fasta.
Ni mtazamo wangu wanajamvi.

Mkuu kutaja vyeo vyao, ndiyo kutaja majina yao?Mkuu hapo kwenye Bolna Red unataka awafichue ili ufanayeje kama mtanzania??? Wengine wote waliofichuliwa ulichukua hatua gani??? By the way mbona ameshawataja kwa vyeo wewe umechukua hatua gani???
Tafakari kisha chukua hatua.
Matokeo halali ni yale tuu yanayotangazwa na Tume, na mshindi ndio anakuwa mshindi halali kwa utaratibu wa "the end justifies the means!".kwa matokeo halali nani alishinda urais?
That means he is not famous,in steady,he is notorious!Isitoshe, umaarufu si tija, hata Hitler na shetani (the character) ni maarufu.
Sema jingine.
Ingekuwa umaarufu wake unatokana na kupigiwa vuvuzela, lisipopigwa ningekubali umaarufu wake ungeshuka, lakini umaarufu wa ZZK unatokana na ability!. Aombe msamaha kwa kosa gani, ajutie jambo gani?.
Ingekuwa jf ni wapiga kura, basi saa hizi Chadema ingekuwa Ikulu!. JF ina wanachama laki moja plus!. Hawa ndio Watanzania wote?.
ZZK bado ni maarufu vile vile tena umaarufu unazidishwa na hii Zitophobia kila siku thread 10 -10 za ZZK!.
P.
Ganda la mua la jana, chungu aona kivuno!. One cannot be a hero to everybody!.Zitto bomu, tumesema kitambo hapa.
Kwangu hakuwa na umaarufu husika to begin with, kwa hiyo hawezi kuurudisha.
Isitoshe, umaarufu si tija, hata Hitler na shetani (the character) ni maarufu.
Sema jingine.
Ingekuwa umaarufu wake unatokana na kupigiwa vuvuzela, lisipopigwa ningekubali umaarufu wake ungeshuka, lakini umaarufu wa ZZK unatokana na ability!. Aombe msamaha kwa kosa gani, ajutie jambo gani?.
Ingekuwa jf ni wapiga kura, basi saa hizi Chadema ingekuwa Ikulu!. JF ina wanachama laki moja plus!. Hawa ndio Watanzania wote?.
ZZK bado ni maarufu vile vile tena umaarufu unazidishwa na hii Zitophobia kila siku thread 10 -10 za ZZK!.
P.
That means he is not famous,in steady,he is notorious!
Yes indeed!, thats what friends are for!.but still he is and will remain a friend , come rain or sun
Ganda la mua la jana, chungu aona kivuno!. One cannot be a hero to everybody!.
Shujaa wa mmija ni bomu kwa mwingine!.
Hata alichokifanya Osama huku wengine wakimlaani, kwa wengine ndie shujaa wao!.
Baba wa Taifa tunamuona ndiye shujaa wetu wa ukombozi dhidi ya mkoloni, wengine wanamlaumu mpaka kesho kwa kisingizio cha kuulea mfumo Kristo!.
Ukweli unabaki kuwa ZZK ni role model wa vijana kibao!.
P.
Ukweli unatabia moja tuu, unasimama wima!. Call me what you may, nasimama na kweli!.Yaani huwezi hata kuficha unafki wako
Mkuu huu ni mtazamo wako binafsi!"beauty is in the eyes of beholder"Ukweli unabaki kuwa ZZK ni role model wa vijana kibao!.
P.