hii inchi tabu sana..deni la 488,000 ni la tsh trillion 22..kwa ongezeko la trillion tano ambazo tunategemea kukopa kw abajeti hii ya sasa ndio total itakua trillion 27 na deni kwa kila kichwa yawezekana likapanda mpaka laki6 hivi na ushee
Siasa bana, kawachanganya wananchi na kuondoka,
Angekuwa mkweli angewaeleza pia kuwa hilo deni ndo linalipa mshahara wake na hata gari alilopanda ni sehemu ya deni hilo.
Pia aeleze kuwa hilo deni sehemu imetumika kulipa ruzuku ya chama chake ambacho kinapokea mamilioni ya shilingi kila mwezi toka serikalini.
Vinginevyo ni upotoshaji na kujaribu kuwadanganya wananchi ambao hawawezi kuelewa vizuri mambo hayo.
Wale wengine uje ukatwe wewe mkuu wangu KK??Wanikate kwenye PAYE yangu nimalizane nao!! Nadhani miezi miwili ntakua shamaliza deni langu hili la 488k.
Wanikate kwenye PAYE yangu nimalizane nao!! Nadhani miezi miwili ntakua shamaliza deni langu hili la 488k.
Siasa bana, kawachanganya wananchi na kuondoka,
Angekuwa mkweli angewaeleza pia kuwa hilo deni ndo linalipa mshahara wake na hata gari alilopanda ni sehemu ya deni hilo.
Pia aeleze kuwa hilo deni sehemu imetumika kulipa ruzuku ya chama chake ambacho kinapokea mamilioni ya shilingi kila mwezi toka serikalini.
Vinginevyo ni upotoshaji na kujaribu kuwadanganya wananchi ambao hawawezi kuelewa vizuri mambo hayo.
MH ZITTO akiwa ndani ya manispaa ya IRINGA akifafanua kuhusu bajeti mwaka huu na jinsi ambavyo itakavyo kataliwa na Bunge unless otherwise ibadilishwe alielezea jinsi deni la Taifa tokea mwaka 2006 lilikua ni Trilion 6 mwaka 2009 ni Trilion 9, mwaka 2011 ni Trilion 11 na funga kazi ni 2012 ni Trilion 22 ambapo alisema kila mtanzania anapaswa kulipa sh 488,000/= hali ambayo iliwashutua wananchi waliokuepo baada ya kufafanua Trilion ipoje..
Pia aliendelea kuichambua bajeti ambapo alisema maskini Dr mgimwa waziri wa fedha ni km huu mzigo ni mkubwa sana kwake na km vile hajui kinachoendelea ktk bajeti...
Walikuapo wazungimzaji wengine kama James Malya aliekua kiongozi wa umoja wa vijana CCM Arusha na baadhi ya viongozi waliojivua magamba kama aliyekuwa anagombea ubunge kwa tiketi ya CCM mkoani Iringa ambapo alirudisha kadi tatu na za mke wake
Mkuu hakuna atakayekatwa pesa hizi ni mbwembwe za wanasiasa.
Serikali zote duniani lazima zikope, hata kama zimekusanya kodi ya kutosha (which is not possible) nchi ukopa ili kuweka uchumi sawa ikiwa ni pamoja na ku-control inflation au kuchochea ukuaji wa uchumi.