Zitto achoka kuvumilia

Wakuu,

me najiuliza sana kwanini JK anajipendekeza sana Ulaya na safari zake either anakimbia maovu na upuuzi wa viongozi wake au anajipendkeza huko Nje ili Human rights wasichafue Profile yake?

Maaana mpaka sasa huko ulaya G5 hawajamuuliza kwanini siku hizi nchi yake(yetu) inakumbwa na misuko suko sana?
 
Kwa kweli mambo yanayoendelea yanaudhi sana
 
CDM wapole mno. Mnasingiziwa dhambi sana na hao madubwasha magamba. High time to take alternative action.
 
Kama waliua mwanamke mjamzito mtwara watakuwa na huruma na watu wazimaKwakweli inasikitisha. Kwabahati nzuri namfaham vizuri mama makinda kwamba kabila lake la wabena hasa WA lupembe wanginyi suala la msi a wanaliheshimy sana sass sijui kuishi mjini kumemchanganya. Amenitia aibu kwakweli. Naomba kwakila mwana means ashikamane na wahanga wore WA arusha. Amen
 
Pole Zitto,tumewapa madaraka makubwa watu hambao hata ubalozi wanyumba kumi hawakustahili.
Ukiona mtu anatoka hadharani kusherekea viti 16 vya udiwani katikati ya msiba,Unapigwa na butwaa!
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]

Ndugu hapa na mimi ndo nlichoka kabisa mtu na halili yake kabisa watu wamekufa yeye anashangilia ushindi wa viti 16, unashindwa kuelewa kama anatumia ubongo au makamasi huu ni ujinga uliovuka kiwango.
 
nauliza mwenye kujua physical address ya mwigulu nchemba

Vipi unataka kumsalimu?hutaki kujua wanawe wanasoma ,wanakaa wapi?vipi shangazi yake pia hutaki kujua anapoishi au mama yake mzazi vipi?UKIMPATA yeyote kati ya hawa utakuwa UMEMPATA Mwigulu Nchemba!
 
Inanisikitisha sana....inabidi CDM watafute njia ya kumwajibisha hata kiongozi mmoja wa CCM wa mfano....ila kwenye siasa kunahitaji uvumilivu...lakini si kuonekana mjinga...NINGEKUWA KIONGOZI WA CDM...NINGETAFUTA NAMNA YA KUIFLICT PAIN YA AJABU KWA KIONGOZI MMOJA WA CCM WATU HAWATASAHAU...SISEMI SANA MANA NACHOFIKIRIA DAH...
 
Those who think peacefully revolution is impossible violence is inevitable
 
Tuliambiwa jk hafai tukabisha..sasa vitu viko wazi
 

waambie chadema wenzako wanao leta siasa katika misiba.....
 
Kweli kaka Zitto hapo umenena Kamanda. Polisi na CCM wanatakiwa wasome alama za nyakati.
 
Last edited by a moderator:
Kama CCM ni wajinga kiasi cha kutoifahamu Newtons 3rd law basi wamsikilize hata Bob Marley pale aliposema "Every little action, has a reaction!"
Newton said "every action has an equal and opposite reaction"
Though I doubt if this reaction will be equal! You just wait!
 

Anatafuta pakukimbilia 2015!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…