Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,001
- 1,688
Zitto Kabwe ni Mwanasiasa mnafiki, mbinafsi, mwongo na mtu wa kumuogopa kama ukoma. Mara zote amekuwa akilenga mambo yanayompa maslahi binafsi na si umma mkubwa wa Watanzania.
Mwaka 2015 wakati Watanzania tukitaka mabadiliko ya kweli, na kuunda Coalition ya UKAWA Zitto alikuwa kinyume chetu kabisa, na hakutaka hata kushirikiana nasi. By that time chama chake hakikutaka kabisa kumpigia kampeni Mgombea wa CHADEMA aliyeviwakilisha vyama vya Upinzani chini ya UKAWA ndugu yetu Lowassa, na badala yake ACT-Wazalendo walisimmamisha mgombea wao Mama Anna Mghwira na kuzigawa kura za Upinzani. Aidha ACT-Wazalendo walisimamisha wagombea wao wa Ubunge na Udiwani na kuzigawa kura majimboni na kwenye Kata
Kwa kipindi chote cha 2016-2017 Zitto alikuwa totally kinyume na movements ambazo Wabunge wa UKAWA walizichukua wakiwa Bungeni; wakitoka nje, yeye alibaki ndani na hata kuwaponda mara nyingine
This time around ACT-Wazalendo wanataka Mgombea wanayemsimamisha wao, Ndugu Bernard Membe, aungwe mkono na vyama vingine vyote vya Upinzani. Wanataka kukiimarisha chama chao kuwa Chama kikuu cha Upinzani kwa mgongo wa Mgombea wao mmoja kwenye Uchaguzi Mkuu. Wanajua fika wakiungwa mkono na vyama vingine wanaweza ongeza idadi ya Wabunge kwani katika Bunge la 11 alikuwa Zitto peke yake, na hivyo kuongeza kiasi cha fedha wanachopokea kama ruzuku
Nitashangaa sana, CHADEMA iliyokuwa na Wabunge na Madiwani wengi ikiingia kwenye mtego uliotegeshwa na ACT-Wazalendo yenye Mbunge Mmoja na Madiwani kiduchu. That will be the offical death of Opposition in Tanzania.
Wasira aliyasema haya na kubakia maneno matupu, vitendo ikawa hakuna. Kwasabb enzi hizo Kikwete alikuwa ameacha wanasiasa wafanye siasa.hata Wassira alishawahi kusema kabla ya mwaka 2015 Chadema itakua imeshakufa.
Mimi sio shabiki wa Membe na sijawahi kumuelewa unaweza kunisoma kwenye thread za nyuma. Lakini kwenye medani za siasa Membe akigombea ACT obviously CDM ndio mtakuwa na wakati mgumu kuliko hata CCM. Ukweli Mchungu huu!Nakusoma hata sikuelewi naona unacheka cheka tu, hivi kati ya Membe wa sasa na Lowassa wa 2015 yupi alikuwa na nguvu zaidi?
Wacha kujidanganya na huyo Membe, ni mwanasiasa wa kawaida kabisa, hana mvuto huo mnaolazimisha awe nao, na hata hiyo kanda ya kusini mnayojidai nayo bado ni kelele za mitandaoni tu, nendeni field mkajionee wacheni ndoto zenu.
Zitto Kabwe ni Mwanasiasa mnafiki, mbinafsi, mwongo na mtu wa kumuogopa kama ukoma. Mara zote amekuwa akilenga mambo yanayompa maslahi binafsi na si umma mkubwa wa Watanzania.
Mwaka 2015 wakati Watanzania tukitaka mabadiliko ya kweli, na kuunda Coalition ya UKAWA Zitto alikuwa kinyume chetu kabisa, na hakutaka hata kushirikiana nasi. By that time chama chake hakikutaka kabisa kumpigia kampeni Mgombea wa CHADEMA aliyeviwakilisha vyama vya Upinzani chini ya UKAWA ndugu yetu Lowassa, na badala yake ACT-Wazalendo walisimmamisha mgombea wao Mama Anna Mghwira na kuzigawa kura za Upinzani. Aidha ACT-Wazalendo walisimamisha wagombea wao wa Ubunge na Udiwani na kuzigawa kura majimboni na kwenye Kata
Kwa kipindi chote cha 2016-2017 Zitto alikuwa totally kinyume na movements ambazo Wabunge wa UKAWA walizichukua wakiwa Bungeni; wakitoka nje, yeye alibaki ndani na hata kuwaponda mara nyingine
This time around ACT-Wazalendo wanataka Mgombea wanayemsimamisha wao, Ndugu Bernard Membe, aungwe mkono na vyama vingine vyote vya Upinzani. Wanataka kukiimarisha chama chao kuwa Chama kikuu cha Upinzani kwa mgongo wa Mgombea wao mmoja kwenye Uchaguzi Mkuu. Wanajua fika wakiungwa mkono na vyama vingine wanaweza ongeza idadi ya Wabunge kwani katika Bunge la 11 alikuwa Zitto peke yake, na hivyo kuongeza kiasi cha fedha wanachopokea kama ruzuku
Nitashangaa sana, CHADEMA iliyokuwa na Wabunge na Madiwani wengi ikiingia kwenye mtego uliotegeshwa na ACT-Wazalendo yenye Mbunge Mmoja na Madiwani kiduchu. That will be the offical death of Opposition in Tanzania.
pambaneni na hali zenu
Si ameshapata somo na yaliyojitokeza 2015,Zitto Kabwe ni Mwanasiasa mnafiki, mbinafsi, mwongo na mtu wa kumuogopa kama ukoma. Mara zote amekuwa akilenga mambo yanayompa maslahi binafsi na si umma mkubwa wa Watanzania.
Mwaka 2015 wakati Watanzania tukitaka mabadiliko ya kweli, na kuunda Coalition ya UKAWA Zitto alikuwa kinyume chetu kabisa, na hakutaka hata kushirikiana nasi. By that time chama chake hakikutaka kabisa kumpigia kampeni Mgombea wa CHADEMA aliyeviwakilisha vyama vya Upinzani chini ya UKAWA ndugu yetu Lowassa, na badala yake ACT-Wazalendo walisimmamisha mgombea wao Mama Anna Mghwira na kuzigawa kura za Upinzani. Aidha ACT-Wazalendo walisimamisha wagombea wao wa Ubunge na Udiwani na kuzigawa kura majimboni na kwenye Kata
Kwa kipindi chote cha 2016-2017 Zitto alikuwa totally kinyume na movements ambazo Wabunge wa UKAWA walizichukua wakiwa Bungeni; wakitoka nje, yeye alibaki ndani na hata kuwaponda mara nyingine
This time around ACT-Wazalendo wanataka Mgombea wanayemsimamisha wao, Ndugu Bernard Membe, aungwe mkono na vyama vingine vyote vya Upinzani. Wanataka kukiimarisha chama chao kuwa Chama kikuu cha Upinzani kwa mgongo wa Mgombea wao mmoja kwenye Uchaguzi Mkuu. Wanajua fika wakiungwa mkono na vyama vingine wanaweza ongeza idadi ya Wabunge kwani katika Bunge la 11 alikuwa Zitto peke yake, na hivyo kuongeza kiasi cha fedha wanachopokea kama ruzuku
Nitashangaa sana, CHADEMA iliyokuwa na Wabunge na Madiwani wengi ikiingia kwenye mtego uliotegeshwa na ACT-Wazalendo yenye Mbunge Mmoja na Madiwani kiduchu. That will be the offical death of Opposition in Tanzania.
Kwa hiyo tukose wote?Ni wazi kwamba ACT Wazalendo wamedhamiria kumsimamisha Bernard Membe kugombea Urais wa Tanzania na kuzigawa kura za upinzani bara za Lissu au Nyalandu.
Hivyo basi nashauri CHADEMA nao waweke mgombea Urais Zanzibar na wagombea uwakilishi na udiwani katika kila eneo huko visiwani Zanzibar ili kila mtu ashinde mechi zake.
Mkuu maneno umeyamaliza,Sasa CHADEMA na ACT tunaelewana, tunafanya kazi pamoja kwa maslahi mapana ya Taifa. CCM wanatumia watu wao kutaka kutugawanya. Mimi binafsi najua hila hizo na sitaingia huo mtego. Nina hakika Kuwa viongozi wa CHADEMA wanajua mtego huu na wao hawatauingia Pia.
Hatuwezi kuwa watumwa wa historia. Ni lazima tuwe na Ushirika ili kupambana na CCM. Sisi ACT tupo tayari na hatutakuwa kikwazo cha Coalition kamwe
kwanza umeanza andiko lako kwa kunihukumu. Polisi wewe, mwendesha mashtaka wewe, Jaji wewe. Sio sawa.
leta uthibitisho kuwa Mimi au ACT Wazalendo ilikataa UKAWA. CHADEMA, kwa sababu zinazoeleweka na wala silaumu, ndio walikataa Ushirika na ACT. Sisi tuliomba kuingia UKAWA tukakataliwa. Tuna ushahidi wa barua tulizoandika kuomba kuingia UKAWA. Tukakataliwa. CHADEMA walitangaza waziwazi kuwa adui yao Mkuu sio CCM bali ni Zitto Kabwe. Hali ya wakati ule niliielewa. Nikasema haijalishi tutakutana mbele ya Safari kwani safari yetu ni moja.
Sasa CHADEMA na ACT tunaelewana, tunafanya kazi pamoja kwa maslahi mapana ya Taifa. CCM wanatumia watu wao kutaka kutugawanya. Mimi binafsi najua hila hizo na sitaingia huo mtego. Nina hakika Kuwa viongozi wa CHADEMA wanajua mtego huu na wao hawatauingia Pia.
Hatuwezi kuwa watumwa wa historia. Ni lazima tuwe na Ushirika ili kupambana na CCM. Sisi ACT tupo tayari na hatutakuwa kikwazo cha Coalition kamwe
Nyie ndio mnaorudisha nyuma upinzain Tanzania. Sasa huyo Mbatia mliekubaliana nae yupo wapi sasa?CCM itaendelea kutawala kwa sababu ya wajinga kama nyinyi mnashindwa kuendana na wakati mmekuwa watumwa wa historia.Mlikataliwa kwa sababu mlikuwa Wabinafsi. Na ndiyo maana Chadema waliwaona nyie ni adui namba moja. Mwaka 2019 ndipo uliporuhisiwa kujiunga na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni baada ya kuanza kujiandaa kwa Movie hii tunayoiona sasa, na kumbuka wakati Mbatia akielezea kuruhusiwa kwako alisema sasa utapaswa kufuata taratibu zao tofauti na awali ambapo ulikuwa ujafanya kama unavyotaka. Na mostly ulitusaliti wapinzani wenzako kwenye movements kibao Bungeni. Chonde Chonde CHADEMA msiingie mtego huu mtanasa vibaya sana.
Nguvu ya polisi na tume ya uchaguzi imekudumaza sana akili.Ushindi wa nini? Chadema ipate ushindi wa urais? Kweli akili zako ni mgando.
I wish huyo Membe agombee kupitia ACT halafu CDM wamuweke Lissu upate majibu yako, unaonekana huijui nguvu ya Lissu, huyo Membe labda kama angekuwa anagombea umoja wa mataifa ndio anafahamika.Mimi sio shabiki wa Membe na sijawahi kumuelewa unaweza kunisoma kwenye thread za nyuma. Lakini kwenye medani za siasa Membe akigombea ACT obviously CDM ndio mtakuwa na wakati mgumu kuliko hata CCM. Ukweli Mchungu huu!
Zitto Kabwe ni Mwanasiasa mnafiki, mbinafsi, mwongo na mtu wa kumuogopa kama ukoma. Mara zote amekuwa akilenga mambo yanayompa maslahi binafsi na si umma mkubwa wa Watanzania.
Mwaka 2015 wakati Watanzania tukitaka mabadiliko ya kweli, na kuunda Coalition ya UKAWA Zitto alikuwa kinyume chetu kabisa, na hakutaka hata kushirikiana nasi. By that time chama chake hakikutaka kabisa kumpigia kampeni Mgombea wa CHADEMA aliyeviwakilisha vyama vya Upinzani chini ya UKAWA ndugu yetu Lowassa, na badala yake ACT-Wazalendo walisimmamisha mgombea wao Mama Anna Mghwira na kuzigawa kura za Upinzani. Aidha ACT-Wazalendo walisimamisha wagombea wao wa Ubunge na Udiwani na kuzigawa kura majimboni na kwenye Kata
Kwa kipindi chote cha 2016-2017 Zitto alikuwa totally kinyume na movements ambazo Wabunge wa UKAWA walizichukua wakiwa Bungeni; wakitoka nje, yeye alibaki ndani na hata kuwaponda mara nyingine
This time around ACT-Wazalendo wanataka Mgombea wanayemsimamisha wao, Ndugu Bernard Membe, aungwe mkono na vyama vingine vyote vya Upinzani. Wanataka kukiimarisha chama chao kuwa Chama kikuu cha Upinzani kwa mgongo wa Mgombea wao mmoja kwenye Uchaguzi Mkuu. Wanajua fika wakiungwa mkono na vyama vingine wanaweza ongeza idadi ya Wabunge kwani katika Bunge la 11 alikuwa Zitto peke yake, na hivyo kuongeza kiasi cha fedha wanachopokea kama ruzuku
Nitashangaa sana, CHADEMA iliyokuwa na Wabunge na Madiwani wengi ikiingia kwenye mtego uliotegeshwa na ACT-Wazalendo yenye Mbunge Mmoja na Madiwani kiduchu. That will be the offical death of Opposition in Tanzania.
Na hakukaribishwa kwa sababu alikuwa haaminiki, ni wajibu wake sasa kuthibitisha kwa vitendo imani kwa waliokuwa na shaka nae.Wew naona 2015 ulikuwa chekechea na hivyo hujui politics zilivyokuwa 2015. Zitto hakukataa UKAWA, ni kwamba hakukaribishwa. Alitamka mara kwa mara kwamba anataka kujiunga lakini kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi hakukaribishwa.
We jamaa nimjinga sana, kwenye thread yako unasema alikataa kujiunga na ukawa, hapa una comment kuwa alikataliwa, sasa sisi wapenda mageuzi tukuelewe vipi?. Kama una agenda za ccm tunaomba uziache , Zitto alisema kabisa yuko tayari kwa ushirikianoo hata mgombea akiwa Lisu sasa tatizo lake liko wapi?.Mlikataliwa kwa sababu mlikuwa Wabinafsi. Na ndiyo maana Chadema waliwaona nyie ni adui namba moja. Mwaka 2019 ndipo uliporuhisiwa kujiunga na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni baada ya kuanza kujiandaa kwa Movie hii tunayoiona sasa, na kumbuka wakati Mbatia akielezea kuruhusiwa kwako alisema sasa utapaswa kufuata taratibu zao tofauti na awali ambapo ulikuwa ujafanya kama unavyotaka. Na mostly ulitusaliti wapinzani wenzako kwenye movements kibao Bungeni. Chonde Chonde CHADEMA msiingie mtego huu mtanasa vibaya sana.