Mimibaba
JF-Expert Member
- Jul 1, 2009
- 4,557
- 1,295
Kwa watu makini na wenye kutambua mambo hata kwa kutumia picha na matendo hawawezi kuaminishwa kauli za usaliti wa ZZK,viongozi waseme tu hawataki mtu mwingine ashike madaraka ya juu, Lissu na wenzako Ukiona mwenzako ananyolewa?.......... shabikieni tu 2019 nanyi mtakuwa wasaliti.
Mimi ni mshabiki wa CHADEMA ZZK AONDOKE.
Wewe
Join Date : 1st September 2013
Posts : 6
Rep Power : 315
Likes Received0
Likes Given0
Posts : 6
Rep Power : 315
Likes Received0
Likes Given0
Toka Sept 1 2013 huna like given au like received? Tafakari michango yako