Zito kutoka Chadema ni lazima

Zito kutoka Chadema ni lazima

Status
Not open for further replies.
zitto hakuwahi kuwa na chama kingine chochote kile maisha yake yote ya kisiasa, hawezi kuondoka kama wanavyoondoka "malaya wa kisiasa" walioingia chadema wakifuata ubunge baada ya kuchakachuliwa CCM!
 
hivi kweli mnaoongea hapa mna kadi za Chadema?

Kuna wakati nimewaza sawasawa na kommenti yako. Wengi wetu humu ndani ni mashabiki tu. Hatuna kadi, hatujui katiba za vyama, hatujui kanuni zinazoongoza hivi vyama vyetu. And yet tunataka kuelekeza nini kifanyike. Siwalaumu lakini maana ndio tulivyo watanzania kwa ujuaji ndio nambari wani!!!!!

Kwanini tusisubiri kamaki kuu sijui baraza kuu litoe uamuzi kulingana na maelekezo yao na utetezi watakaoupata toka kwa watuhumiwa?
 
Chadema ipo moyoni mwake hata ikitokea atanyang'anywa uanachama wake hatojiunga na chama chochote.... atarudi chuo kikuu akawafundishe vijana.

Akawafundishe vijana kuwa wasaliti na mamluki.. sipati picha ZZK mwalimu.. ameshazoea kupiga hela hatadumu kwenye kushika chaki....
 
I think Zitto hatofukuzwa CHADEMA - Unless asindwe kuandika barua kama alivyoagizwa, kujieleza na kuomba radhi. Itaonesha picha gani kumfukuza mtu ''aliyekiri na kujutia makosa yake''?? Wakifanya hivyo inaweza kuleta maana (potofu!?) kwamba wanaogopa uchaguzi au wana bifu nae kwa kutowatonya issue ya ukaguzi wa hesabu zao
 
Chadema ipo moyoni mwake hata ikitokea atanyang'anywa uanachama wake hatojiunga na chama chochote.... atarudi chuo kikuu akawafundishe vijana.

Alishawahi kuwa huko akifundisha? Chuo gani? Nijuze mkuu!
 
Mkuu ZZK
nikiwa kama mwanachama wa chadema naomba nikupe ukweli nini kitafata muda si mrefu:
bila kujali utafukuzwa au hufukuzwi chadema,napenda kukuhakikishia ni lazima kwa vyovyote vile uondoke chadema
Zito usifikirie kubaki chadema kwa sababu sisi wanachama ambao tumebeba chama hatuna imani na wewe tena kwa vyovyote vile
tunasubiri siku zako 14 ziishe uondoke,na kama uongozi utakuachia wewe kubaki chadema basi chadema itakuwa kwenye wakati mgumu zaidi kwani sisi wanachama hatutaki ubakie chadema,
kama kweli wewe ni mwana demokrasia naomba kwa moyo wote ondoka ili tuweze kushikamana na kuendeleza mapambano yaliyokwisha anza ya mabadiliko

Dada una mume kama vp karibu nikuongeze mke wa pili
 
Akawafundishe vijana kuwa wasaliti na mamluki.. sipati picha ZZK mwalimu.. ameshazoea kupiga hela hatadumu kwenye kushika chaki....

Hizo ni propaganda ulizo lishwa na wapinzani wake ndani ya chama... Na umevimbiwa kwelikweli.
 
Mkuu ZZK
nikiwa kama mwanachama wa chadema naomba nikupe ukweli nini kitafata muda si mrefu:
bila kujali utafukuzwa au hufukuzwi chadema,napenda kukuhakikishia ni lazima kwa vyovyote vile uondoke chadema
Zito usifikirie kubaki chadema kwa sababu sisi wanachama ambao tumebeba chama hatuna imani na wewe tena kwa vyovyote vile
tunasubiri siku zako 14 ziishe uondoke,na kama uongozi utakuachia wewe kubaki chadema basi chadema itakuwa kwenye wakati mgumu zaidi kwani sisi wanachama hatutaki ubakie chadema,
kama kweli wewe ni mwana demokrasia naomba kwa moyo wote ondoka ili tuweze kushikamana na kuendeleza mapambano yaliyokwisha anza ya mabadiliko

bila ushabiki uneanisha kama wewe ni kwa nini aondoke toa msimamo wako na sababu!! ahsante
 
Bado nataka kuamini kuna baadhi ya post zinaandikwa na viongozi wenyewe,lakini nikiwa kama mwanacdm najiuliza kwanini migogolo ndani ya chama inatokea ikifika karibu na uchaguzi wa chama? naamini mpaka mwisho wa maisha yangu Moja ya witu walioifikisha Cdm hapa kilipo ni ZZK,sasa kwa nini iwe nyinyi tu? mh.Zito wakizingua na chama lao la ukabila toka nenda hata kwa mtikila tutakuunga mkono waache waendelee na uchaga na ukaskazin wao.Tumewachoka
 
Aondoke akajiunge na CCM. Aanzishe Chama chake. Afukuzwe hatulei wajinga
Slaa kawaambia mashabiki wake kwamba kama wanamtaka sana Zitto basi waondoke naye wakaanzishe chama kingine. Kwa majibu yale ya Slaa kwa wana Kigoma ni dhahiri kwamba siku zake ndani ya CHADEMA zinahesabika.
 
Mkuu ZZK
nikiwa kama mwanachama wa chadema naomba nikupe ukweli nini kitafata muda si mrefu:
bila kujali utafukuzwa au hufukuzwi chadema,napenda kukuhakikishia ni lazima kwa vyovyote vile uondoke chadema
Zito usifikirie kubaki chadema kwa sababu sisi wanachama ambao tumebeba chama hatuna imani na wewe tena kwa vyovyote vile
tunasubiri siku zako 14 ziishe uondoke,na kama uongozi utakuachia wewe kubaki chadema basi chadema itakuwa kwenye wakati mgumu zaidi kwani sisi wanachama hatutaki ubakie chadema,
kama kweli wewe ni mwana demokrasia naomba kwa moyo wote ondoka ili tuweze kushikamana na kuendeleza mapambano yaliyokwisha anza ya mabadiliko

ataondoka tu,maana hata kabla hajakabidhi barua ya utetezi wake,tayari nafasi zake watu wamesha kaimu,hii inamaanisha kuwa,maamuzi yalisha fanywa na hakutakuwa na mabadiliko ya aina yeyote ile,yaani hata hiyo barua ni kama kutimiza wajibu tu,kwani yaonekana kuwa utetezi wake hautakuwa na maana yeyote ile.
 
Aondoke. Kosa moja linafuta mema 100000. zitto ni msaliti
 
Kama chadema watamfukuza zitto ni km Barcelona wamuuze messi kwenda madrid

hahaha ....comments nyingine ni za darasa la nne hata mtihani wa kuingia la tano hujafanya.Nenda shule kaka.....ZZK nenda ukafanye kazi zako tofauti na siasa kaka,siasa zako ni za kibnafsi na za kujiona unajua kuliko yeyote yule na hata mama yako huenda humheshimu. ..waliokutuma wanakula bata..
 
Kwa watu makini na wenye kutambua mambo hata kwa kutumia picha na matendo hawawezi kuaminishwa kauli za usaliti wa ZZK,viongozi waseme tu hawataki mtu mwingine ashike madaraka ya juu, Lissu na wenzako Ukiona mwenzako ananyolewa?.......... shabikieni tu 2019 nanyi mtakuwa wasaliti.
 
Mi nadhani tunahitaji watu, hatufurahii mtu yeyote kufukuzwa ndani ya chama awe mkubwa ama mdogo, lengo kuu ni mtu kubadilika na kubaki ndani ya chama, hilo ndo lengo kuu

Mishipa ya fahamu ya ZZK ilishakufa siku nyingi AONDOKE tujue hatunae
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom