ZITO KABWE NDANI YA ST JOHN'S UNIVERSITY G7. (karibuni) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ZITO KABWE NDANI YA ST JOHN'S UNIVERSITY G7. (karibuni)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nchasi, Jun 25, 2011.

 1. n

  nchasi JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 525
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Peples power. Watu wote ambao wamejitambua, kesho tarehe 25.06.2011. Tutakuwa na kikao cha watu wote kutoka ukanda wa Kikuyu. Wanaohitaji kadi za CDM wote mnakaribishwa na mgeni rasimi ni MP Wetu wa ukweli Mh. ZITO KABWE. Karibuni sana ni majira ya saa 9 mchana mahali ni G7
   
 2. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye Red ink, sijakuelewa kaka. Otherwise thanks.
   
 3. e

  ebrah JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  oya kesho sio 25, but thanx for inf, tupo pamoja na wana wa dom!
   
 4. n

  nchasi JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 525
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Ni kweli jamani kesho ni tarehe 26.06.2011. Nimesahau jamani si mnajua maisha yalivyo magumu mpaka tunasahau tarehe. Lakini mnakaribishwa sana wana Dom
   
Loading...