Zito, Filikunjombe, nimeamini Vijana wanaweza!

Zito, Filikunjombe, nimeamini Vijana wanaweza!

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
4,058
Reaction score
1,377
Katika usomaji wa report ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serekali (PAC) dhidi ya fedha zilizo kua katika account maalum ya IPTL (TEGETA ESCROW ACCOUNT) leo hii bungeni, iliowasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa Zuberi Zito Kabwe na Makamu Mwenyekiti wake Mheshimiwa Deo Filikunjombe, bila kumumunya maneno na ufasaha Mkubwa dhidi ya Vigogo kama Mwanasheria Mkuu w,a Serekali wa Sasa Jaji Warema na Mwanasheria Mkuu wa Zamani kidogo na Mbunge wa Bariadi Mheshimiwa Andrew Chenge bila kusahau Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda, ni kitendo cha Ujasiri na Kuthubutu kulikotukuka na Kitendo cha Uzalendo Mkubwa kwa Nchi ya Tanzania.

Haya Mambo wakati wa Mwalimu yalikua haya wezekani kabisa.
 
Katika usomaji wa report ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serekali (PAC) dhidi ya fedha zilizo kua katika account maalum ya IPTL (TEGETA ESCROW ACCOUNT) leo hii bungeni, iliowasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa Zuberi Zito Kabwe na katibu wake Mheshimiwa Deo Filikunjombe, bila kumumunya maneno na ufasaha Mkubwa dhidi ya Vigogo kama Mwanasheria Mkuu w,a Serekali wa Sasa Jaji Warema na Mwanasheria Mkuu wa Zamani kidogo na Mbunge wa Bariadi Mheshimiwa Andrew Chenge bila kusahau Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda, ni kitendo cha Ujasiri na Kuthubutu kulikotukuka na Kitendo cha Uzalendo Mkubwa kwa Nchi ya Tanzania.

Haya Mambo wakati wa Mwalimu yalikua haya wezekani kabisa.
Hata mimi nimefurahiswa sana na hatua hii lakini cha ajabu wameogopa kutaja hata jina moja la vigogo waliochukua fedha hizo kupitia StanBic Benk.

Kumbuka kwa siku ukisoma uk 63 ripoti ya PAC wanasema kwa siku moja MUKOMBOZI Benk ilitoa cash3.3bils na kwa siku moja StanBic ilitoa Shs73.3bils lakini hatajwi hata mtu mmoja ambaye amepokea fedha hizo .
Kamati hii imeishia kutaja wahusika wa Mukombozi Benk tu ambako zimepita pesa kidogo sana
 
Ni wazi kwamba anayetoa pesa cash kwenye account ni mwenye account mwenyewe hivyo withdraw peke yake haiwezi kuonesha baada ya mwenye account kutoa ni nani walipewa.
 
Katika usomaji wa report ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serekali (PAC) dhidi ya fedha zilizo kua katika account maalum ya IPTL (TEGETA ESCROW ACCOUNT) leo hii bungeni, iliowasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa Zuberi Zito Kabwe na katibu wake Mheshimiwa Deo Filikunjombe, bila kumumunya maneno na ufasaha Mkubwa dhidi ya Vigogo kama Mwanasheria Mkuu w,a Serekali wa Sasa Jaji Warema na Mwanasheria Mkuu wa Zamani kidogo na Mbunge wa Bariadi Mheshimiwa Andrew Chenge bila kusahau Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda, ni kitendo cha Ujasiri na Kuthubutu kulikotukuka na Kitendo cha Uzalendo Mkubwa kwa Nchi ya Tanzania.

Haya Mambo wakati wa Mwalimu yalikua haya wezekani kabisa.


Kwasababu walikuwa na EVIDENCE ya kutosha toka kwa MZEE... MBUNGE wa MUSOMA VIJIJINI aliyetishiwa kulishwa SUMU
 
Hiyo report yao ina ukweli nusu nusu tu. Ni kwa nini wameifumbia macho familia ya Jakaya ambayo pia imehusika kwa asilimia mia moja kwenye wizi huo?
 
Imagine Zitto ni raisi, Filikunjombe waziri mkuu, JJ Mnyika waziri wa nishati na madini, J Makamba waziri wa sayansi na teknolojia, huku maliasili na utalii kasimama Mchungaji Msigwa na mwanamama Halima Mdee kakamata Tamisemi na kule afya unamkuta Steven Ulimboka bila kumsahau Mtatiro mambo ya ndani na Jussa mambo ya nje na ukigeuka unamkuta tumbili mwenyewe Kafulila ni waziri wa uchukuzi chini ya mwanasheria mkuu wa serikali Tundu Lissu........

Until that day Tanzania tutabaki maskini kwa vile tumeendelea kukumbatia hii mizee mijizi ya mchana kweupe....
 
nadhani nivizuri kuwaita kwa majina/vyeo yao halisi. hao hawajawahi kuwa wanasheria wa serikali bali WANASHERIA WA MATUMBO YAO.

Katika usomaji wa report ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serekali (PAC) dhidi ya fedha zilizo kua katika account maalum ya IPTL (TEGETA ESCROW ACCOUNT) leo hii bungeni, iliowasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa Zuberi Zito Kabwe na katibu wake Mheshimiwa Deo Filikunjombe, bila kumumunya maneno na ufasaha Mkubwa dhidi ya Vigogo kama Mwanasheria Mkuu w,a Serekali wa Sasa Jaji Warema na Mwanasheria Mkuu wa Zamani kidogo na Mbunge wa Bariadi Mheshimiwa Andrew Chenge bila kusahau Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda, ni kitendo cha Ujasiri na Kuthubutu kulikotukuka na Kitendo cha Uzalendo Mkubwa kwa Nchi ya Tanzania.

Haya Mambo wakati wa Mwalimu yalikua haya wezekani kabisa.
 
Binafsi siwezi amini kama pinda, werema na hata muhongo kama hawajalamba pesa hii ya escrow, hawa wamepelekewa cash na vibaraka wao. Isingewezekana kwa muhongo kukutanisha hao madalali bure kamwe. Mungu anajua yaliyotendeka, na wenyewe wanajua. Watanzania tuliombe bunge kama kuna uwezekano liunde kamati teule ili tujue miamala ya benki za mkombozi na stanbic kwa uwazi.
 
Hata mimi nimefurahiswa sana na hatua hii lakini cha ajabu wameogopa kutaja hata jina moja la vigogo waliochukua fedha hizo kupitia StanBic Benk.

Kumbuka kwa siku ukisoma uk 63 ripoti ya PAC wanasema kwa siku moja MUKOMBOZI Benk ilitoa cash3.3bils na kwa siku moja StanBic ilitoa Shs73.3bils lakini hatajwi hata mtu mmoja ambaye amepokea fedha hizo .
Kamati hii imeishia kutaja wahusika wa Mukombozi Benk tu ambako zimepita pesa kidogo sana

Hawa ndiyo wale waliochukuwa kwa salfeti na Marlboro
 
ZITTO KAMBWE: MIFUMO YOTE YA NCHI KIUTENDAJI, UONGOZI NA KIUTAWALA VILI-COLLAPSE.

Mwenyekiti wa PAC (mb) Mweshimiwa ZITTO, kipindi mara tu baada ya kumaliza kuwasilisha report ya kamati yake ya kupitia uchunguzi wa taarifa ya CAG kuhusu kuchotwa kwa miela ( zaidi ya 321b Tsh) kwenye account ya TEGETA Escrow alisema haya alipokuwa akiojiwa na idhaa ya BBC Swahili. Mtangazaji: Ilikuwaje mpaka ikatokea fedha nyingi kama hizo kuchotwa bila kuchukuliwa tahadhari na wahusika na pia vyombo husika, ikiwemo kujilidhisha kuhusu mgogoro mzima wa IPTL na TANESCO?


Mweshimiwa ZITO: Hii ilikuwa ni sindicate kubwa na kwa ujumla mfumo mzima uli-paralise na ku-collapse na hapo ndipo SINGASINGA lilitumia mwanya huo kukwapua miela ya walipa kodi.


Swali la kujiulize,Ni Je, kama ni kweli mfumo mzima ulikunywa TOGWA na kulala usingizi , hao tuonaambiwa kuwa usalama wa taifa iko Imara je walikuwa wapi? au ndo walikuwa waking'ang'ana na kutafuta intelligencea na taarifa za kuzuia maandamano ya wapinzani?


Na kama nchi nzima ilikuwa imepigwa gazi je hatuoni matapeli ya kimataifa kama haya (SINGASINGA) yanaweza kushirikiana na watanzania waabudu pesa na mwisho wa siku yakamilikishwa nchi na watu wake ."Yale yale ya wizara ya Maliasili na utalii" twiga kukujwa mzimamzima huku akilia kwenye ndege hadi Saudia.


Usalama wa taifa nadhani wajitafakali ili waweze kuona kama walikuwa na sehemu ya kufanya ktk kuokoa vijiseti/viela vetu vya ugoro (mabillionea wetu wanavyoziita).


Tulichobaki nacho ni kutamka neno TZ tuna Amani ambayo kimsingi nayo iko njiapanda maana "keki ya taifa imebaki kuwa ya wachache tena tuliowakadidhi dhamana ya kutuongoza na wamejiharalishia umiliki wa nchi hii maana hawana hata hofu ya Mungu.


Kama Taifa kuna aja ya kutafakari na kujitadhimini upya ni wapi tumejikwaa, na je tunaweza kufufua matumaini ya WaTZ au ndo tumekata tamaa kabisa. Jibu ni KATIBA na Maoni ya Wananchi kama yalivyokusanywa na tume ya WARIOBA ndio yatalitoa taifa hapa tulipokwama.
 
Back
Top Bottom