E medics
Member
- Sep 18, 2019
- 79
- 88
Kweli et nyie ma developer em fanyeni hii kitu
Japo cjui ugumu wake ila mkishirikiana inawezekana sio lazma iwe perfect kivileee maana mta update uko mbelen
Hilo hata likiwa la kulipia ntalipa tuAngalia gemu ambalo halitakuwa lakutumia akili nyingi sana! Wabongo watakimbia!!
Tengeneza la nyoka ila liwe linakula viongozi
Walau watu tutapunguza machungu kila ukimuona kiongozi fulani unamfata unamla!!