jayleoncy112
Senior Member
- Jul 17, 2016
- 164
- 73
hahahaaaa UDSM wana coz 79Tu mwaka, huu.Nimeanza tu kusoma nimegungua huna hakika na unacho andika maana udsm mwaka huu ukiachilia mbali medicine iliyofutwa kinadahil kozi 88 ngazi ya shahada
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiishie tu kwenye guid book bro,jaribu kupitia website ya chuo husika okhahahaaaa UDSM wana coz 79Tu mwaka, huu.
kijana hatujakurupuka tuna evidence, nenda kweny guid book ya tcu
Nimeangalia website ya Udom sioni maelekezo ya kufanya application kama unajua nipe maelekezo.JE WAJUA?
Je wajua product za udom hukubalika maofisini* field na kazini?
JE WAJUA, UDOM pekee ndo chuo kinachodahili koz nyingi zaidi mwaka huu, kinadahili Coz 80...
Pia Ni chuo kikubwa Afrika Mashariki na Kati na Kusini mwa Jangwa la Sahara...
Ndani ya Chuo kiuu cha Dodoma kuna wizara nane za nchi hii, including... wizara ya Elimu, Utumishi, Mali asili, Sheria, na zinginezo
Je wajua UDOM ni chuo pekee chenye hostel za kutosha wa2 wote kwa miaka yote uwapo chuon? ni kwa sh laki moja na 69 tu...
Je wajua udom inamiak 10 toka kuanzishwa kwake? Na chuo kinachokuja kwa kasi.zaidi Africa!
Je wajua collage za udom ni best in Africa? Like cive, walitengeneza celiot ikashika namba 1 Africa! Cnms wametengeneza kifaa cha kutunzia watoto ambao hawajafika(pre mature) wamegundua species za samaki(miaka 10 ya udom)
Je wajua chuo udom hupata nafasi nyingi za field direct kutoka kwenye institutions?
Je waijua college of business na law?
Je waijua collage of natural and mathematical science coz ya bsc in aquatic science??
Je wajua udom pekee TZ hutoa bachelor of science in mathematics & bachelor of science in statistics pia BIOLOGY ?
Je waijua udom ndio chuo best Tz Mwaka 2017 chenye miaka michache toka kuanzishwa?
Je wajua udom imepata nafasi nying za uteuzi wa viongozi wa nchi? Kama mawaziri, madc, maRc? n.k,
Je wajua udom ndio jicho LA Tz kwa sasa? Kama ilivyikuwa ud zamani,
Je wajua udom huongoza kuwa na library za kisasa! Mfano cive inalibrary Tz nzima ambayo hakuna chuo chenye hiyo library inayofanana?
Je wajua kila collage inalibrary Yake?
Je wajua udom.sr? Ni student records ambazo record zako zote hutunzwa online kama matokeo, taarifa za muhimu uchaguzi wa chuo(udoso election) course evaluation ambapp unamjudge lecture aliyekufundisha hapo n.k
Na hii iliundwa na wanafunzi.
Karibu udom kwa matokeo chanya, njoo upate maarifa yatakayokufanya vizuri katika ajira Tz
Karibu ujenge Historia, na utimize ndo zako hapa UDOM
KWA MAELEZO ZAIDI MCHEKI KIONGOZI WAKO KWA NAMBA 0714531092 (WHATSAPP)
Udom hawalipi pesa wanazodaiwa na wanachuo, zilizozidi ktk ada au malipo mbalimbali. (Refund)JE WAJUA?

TCU wanakwambiiaaa coz zilizonje ya Guid book sio halaliUsiishie tu kwenye guid book bro,jaribu kupitia website ya chuo husika ok
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeangalia website ya Udom sioni maelekezo ya kufanya application kama unajua nipe maelekezo.
Sent using Jamii Forums mobile app
mwaka huu hii changamoto itashughulikiwaUdom hawalipi pesa wanazodaiwa na wanachuo, zilizozidi ktk ada au malipo mbalimbali. (Refund)
Sent using Jamii Forums mobile app
Good kabisa ni zao letuumesahau kuwaambia hiyo UDOM SR imetengenezwa na wanafunzi hapo CIVE.
ok msiwe na wasi wasi nawalete njia nyepes ya kuapply UDOMHata mimi najaribu sioni namna ya ku-apply
big up mkuuNimeanza tu kusoma nimegungua huna hakika na unacho andika maana udsm mwaka huu ukiachilia mbali medicine iliyofutwa kinadahil kozi 88 ngazi ya shahada
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo chuo kinachoongoza kutoa supUDOM Ndio chuo pekee unachoweza kuhitimu shahada bila kwenda field
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa nini UDOM hampokei direct form 4 entrants kwa diploma mpaka awe na certificate?JE WAJUA?
Je wajua product za udom hukubalika maofisini* field na kazini?
JE WAJUA, UDOM pekee ndo chuo kinachodahili koz nyingi zaidi mwaka huu, kinadahili Coz 80...
Pia Ni chuo kikubwa Afrika Mashariki na Kati na Kusini mwa Jangwa la Sahara...
Ndani ya Chuo kiuu cha Dodoma kuna wizara nane za nchi hii, including... wizara ya Elimu, Utumishi, Mali asili, Sheria, na zinginezo
Je wajua UDOM ni chuo pekee chenye hostel za kutosha wa2 wote kwa miaka yote uwapo chuon? ni kwa sh laki moja na 69 tu...
Je wajua udom inamiak 10 toka kuanzishwa kwake? Na chuo kinachokuja kwa kasi.zaidi Africa!
Je wajua collage za udom ni best in Africa? Like cive, walitengeneza celiot ikashika namba 1 Africa! Cnms wametengeneza kifaa cha kutunzia watoto ambao hawajafika(pre mature) wamegundua species za samaki(miaka 10 ya udom)
Je wajua chuo udom hupata nafasi nyingi za field direct kutoka kwenye institutions?
Je waijua college of business na law?
Je waijua collage of natural and mathematical science coz ya bsc in aquatic science??
Je wajua udom pekee TZ hutoa bachelor of science in mathematics & bachelor of science in statistics pia BIOLOGY ?
Je waijua udom ndio chuo best Tz Mwaka 2017 chenye miaka michache toka kuanzishwa?
Je wajua udom imepata nafasi nying za uteuzi wa viongozi wa nchi? Kama mawaziri, madc, maRc? n.k,
Je wajua udom ndio jicho LA Tz kwa sasa? Kama ilivyikuwa ud zamani,
Je wajua udom huongoza kuwa na library za kisasa! Mfano cive inalibrary Tz nzima ambayo hakuna chuo chenye hiyo library inayofanana?
Je wajua kila collage inalibrary Yake?
Je wajua udom.sr? Ni student records ambazo record zako zote hutunzwa online kama matokeo, taarifa za muhimu uchaguzi wa chuo(udoso election) course evaluation ambapp unamjudge lecture aliyekufundisha hapo n.k
Na hii iliundwa na wanafunzi.
Karibu udom kwa matokeo chanya, njoo upate maarifa yatakayokufanya vizuri katika ajira Tz
Karibu ujenge Historia, na utimize ndo zako hapa UDOM
KWA MAELEZO ZAIDI MCHEKI KIONGOZI WAKO KWA NAMBA 0714531092 (WHATSAPP)
sheria mpya wew na form 4 yako anza cheti ndo ufikilie diplomakwa nini UDOM hampokei direct form 4 entrants kwa diploma mpaka awe na certificate?
iko wapi?sheria mpya wew na form 4 yako anza cheti ndo ufikilie diploma