Zitambue 'Code' mbali mbali za Watu wanao Cheat katika Mapenzi

Code sio ipo siku utafundishwa code za ndoa.
 
ukimgongea mwenzako na ww kuwa mpoke wako akigongwa malipo ni hapahapa dunian
 
Mkuu kumfuatilia mke wa mtu ratiba zake kwa siku ni kitu rahisi sana ,omba sana mungu jamaa aendelee kuamini mke wake hacheat,akimfuatilia tu utanaswa fasta na mapigo yake unayajua,,,,,,,,,,nakushauri achana na wake za watu mkuu !!!!
 
Kuna vitu wanaume wengi tunafanya na tunajua deep inside kuwa ni makosa.

Kwa kufahamu kuwa ni makosa mbele ya jamii na ya Kanisa unaviacha, ukishindwa kabisa unavifanya ufichoni na hautakaa hata siku moja kuhadithia yeyote even under penname.

Ndugu yangu unachofanya hapa ni kujidhalilisha na kutudhalilisha wanaume. Hauwezi jisifu kutembea na mke wa mtu hata siku moja, unajisifu KUOA tu. Mengine ni siri yako.

Mkeo kuliwa ataliwa tu. Lakini je ataliwajeliwaje?
1. Ataliwa kimya kimya usijue upate amani?
2. Au ataliwa na fala kama wewe kwa matangazo, usimuliwe anavyoinamishwa na kumezeshwa Drill?

Nenda Kachukue Matokeo Yako Nasikia NECTA wametoa jana.
 
Yule mke wa mtu alinipenda sana hadi leo hii....and tukienda kwenye sex nilikuwa so rough...leo kwenye gari,kesho parking kesho kutwa kwenye koshi,mtondogoo hoteli mara chooni so i was so harsh and rough!

KWA NINI USIMCHUKUE HUYO MWANAMKE UISHI NAE MAANA MKO COMPATIBLE
 
NJOO KWANGU NIKUKATE IYO DUSHE?
 
Mbona huongelei ulivyodakwa ukazibuliwa mtaro?
 
05 akisema 5 tunachat, akisema 0 hatuchat
 
Nikituma 2020 akijibu lowasa Basi huwa tunachati

Lakini Nikituma 2020 akijibu yohana Basi huwa hatuendelei kuchati
 
mm huwa namuita dada na kwenye simu yake kanisave mdogo wangu nikitaka kuchati nae au kumuita ili nimgegede huwa namsalimia shikamoo dada habari za huko, vip wakina anko wazima msalimie na shemeji basi yeye atanijibu anko zako wazima na shemeji yako yuko hapa mzima, akijibu hivyo ndio mwisho wa conersation na kama jamaa hayupo huwa najibu anko zako wazima ila shemeji yako hayupo.
alafu jamani penzi la kuiba tamu
 
Walaaaa! Shida yote yanini kuishi na wasiwasi Muda wote!! Mi namtulizia mmoja tu
Ewalaa!! Hayo ndio mambo, kisa cha kuishi kama unaoga njia panda ili iweje!! Muda wa kukaa ufikirie ya maana unafikiria codes za kuchepuka!! Waii!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…