Ziraili wa gizani

 
Mshana nataman juwa kaz yako Mzee manake huwa unatuma madini flani adim.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]nafanya chumba cha maiti
 
Huo mwanga unaoonekana hapo juu ni chumba cha mochwari.. Yanayoendelea humo ndani muda huu... Ni asili yenyewe ndio ina majibu
 
Wanasema hatujui siku wala saa,unaeza shangaa wiki ijayo mawinguni kunawaka
Hahahaha lakini kumbuka kuna dalili kabla ya kuja kwake nazo zimeainishwa bayana
 
Naomba link ya hiyo thread ambayo kulikua na sokomoko kuhusu hiyo picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…