Ziraili wa gizani

Ziraili wa gizani

mshana jr mimi huwa naota sana natembea hewani au nikitaka kuchuma matunda ya juu ya mti napaa.....ila kupaa kule nakua kama napiga atua ila nakuwa napaa. huwa naota mala nyingi mno ichi kitu.

Pia naotaga sana mwanangu kafariki kwa kugongwa na gari huwa naliaga sana hadi nikiamka nikistuka nakuta machozi yananitoka kabisaaaaa then namuangalia mtoto yupo mzima ila kilio huwa kinaendela apo. namuombaga sana mungu na ili swala nilishamwambiaga mama yangu mzazi kwa nini naota ivi alinishauli ni kumuomba mungu tu....ila rafiki yangu nilimwambia nae akanijibu iyo ni roro ya [HASHTAG]#MAUTI[/HASHTAG] ikemee sijui naikemea vipi maana mimi ni [HASHTAG]#Muislam[/HASHTAG]
 
Hiyo ni vita ya kiroho unapambana nayo kwa ushindi mkubwa...sikushauri uende popote panapohusika na nguvu za giza bali kwa imani yako toa zaka na sadaka na kujitahidi kwenda njia nyofu
 
Aisee umenikumbusha kipindi kimoja ndgu yangu alitoka nje usiku kama saa nane kwenda msalani siku iyo kulikua na mbalamwezi ko mwanga ulikua wa kutosha hakwenda ata na taa ile anatoka tu msalani kulitokea giza likiambatana na upepo mkali alisema hajawai kuona giza kama lile hadi mlango wa nyumba akaukosa ikabidi aanze kuitafta nyumba mda mrefu bila mafanikio ikabidi akae tuu atulie ilipofika saa kumi na moja kasoro anasema ilitokea upepo mkali sana ajabu ndipo alipo uona mwanga kama mwanzo ndo kujikuta yuko mbali kidogo na nyumban akaingia ndani anatetemeka balaa nimekumbuka nilipoona hii thread
 
Muda saa nane usiku!
Hali ya hewa mbalamwezi

2b53718130de116c9800a234af4bc528.jpg
mida ya wanga hiyo hebu Google habari za Halloween
 
Dah hizi mambo hizi hatari sana ....kuna jirani yetu mwanawe alipotea kama utani mwaka wa tatu huu hata kucha haijaonekana
 
Asili ilipochagua usiku iwe ndio wakati wa kulala kuna siri kubwa ilifichwa huko
Kifo kinauma sana hasa anapoondoka mtu tumpendaye sana...nafuu ni kwamba unajua kwamba kafa na hutaweza kumuona tena.....
Kuna hili la kupotea watu
-kuna watu wanapotea kisha wakaonekana wakiwa hai hata kama wana majeraha
-kuna watu wanapotea kisha wakaonekana maiti zao.. Inauma sana
-kuna watu wanapotea kisha mabaki yao yakaja kuonekana baada ya muda fulani wakiwa wameoza kabisa ama imebakia mifupa tu
15a5cc703468e7d8d3a0ffd95ee22c5e.jpg
pamoja na maumivu yote hayo lakini unajua fika kwamba hatimaye kaonekana japo mabaki
Kimbembe kiko hapa!
Kuna watu walipotea halafu wakapotea kabisa kabisa, hawajawahi kuonekana tena wala maiti zao wala mabaki yao! Yani hawakuacha alama yoyote
Mwili wa binadamu una hulka moja. Haupotei kimoja lazima kitabaki chochote cha kukutambulisha iwe mabaki iwe maiti nk....lakini unaposoma habari za unsolved mysteries ama disapearances, kuna kitu kikubwa mno utakipata humo cha kutisha
Kiza kina meno! Kiza kina roho! Kiza kina mauti! Kiza kinameza na kupoteza kabisa
Ulimwengu wa giza ni ulimwengu wa roho. Roho ya giza ikikukamata utapotea milele na hutakaa uonekane hata unyayo wako
Giza lenye roho hutengeneza maumbo ya ajabu na kuogofya, haya ndio maziraili yanayotowesha watu
a9aa9c389a7f3ba1a7d1b6da85091cfb.jpg

Hii hutokeaje?
Scenarios ni tofauti... Mtu alikuwa karudi nyumbani salama lakini mara anaaga kuwa anatoka mara moja..hiyo ndio kwaheri.. Hutakaa umuone tena
Tumewapoteza wengi kwa style hii...hata hapa tunaweza kuwa na mifano hai(sio wa Ben), ndege ya Malaysia ni mfano mwingine mzuri tu! Haijawahi kuonekana pamoja na technology ya kisasa mno ya kuitafuta!
Uhalisia ni UPI?
Kuna roho hulishwa/hula binadamu hai kama alivyo mzimamzima! Na hazikuvizii bali unaenda kwa wito unaaga kabisa watu uliokuwa nao
-natoka kidogo
-kuna mtu namuona hapo jirani
-nimeitwa maramoja
-Mimi natangulia home nk nk
Ni wito ambao huja bila kutambua na sometimes wala hujui ni kwanini unaitwa unaitiwa nini na unaitwa nanani ama kwanini unawaacha wenzako na kuondoka mwenyewe! Cha kushangaza unaondoka ama unaenda bila hofu tena kwa kujiamini
Dunia halisi ni replica ya ulimwengu wa roho ukiona kuna fisi mla mizoga kuna roho ziko hivyo pia! Ukiona kuna simba na chui walao fresh kuna roho zipo hivyo
Ukiona kuna funza nk kuna roho zipo hivyo pia
34bdc63503c2d4d5e619d398fced26e6.jpg
technology ya camera kali zinazojiendesha automatically zimesadia kuweza kupiga picha kama hizi za viumbe vya ajabu usiku! Je hivi ndio hao ziraili wa kiza? Huku kwetu tungehitimisha kwa kusema kwamba kachukuliwa msukule!
Alien abduction...
 
Back
Top Bottom