Ada ya hizo shule usipime!! sisi tusio na kipato tunathaminiwa wakati wa kampeni na uchaguzi !! eee Mwenyezi Mungu tunusuru na hili tanuri la moto, tumeanza kuungua tungali duniani.Mkuu, kama ataamua kusomesha hapa nchini, ni "kiongozi" gani asiyependa binti yake asome St. Francis, Marian Girls, Eden Garden, Rosmin Sisters, n.k? Ni mtawala gani asiyependa kijana wake asome Marian Boys? St. Joseph Millenium? Eden Garden? St. Gasper, Fezza, n.k.?
Kama wanavyokimbilia kutibiwa India, SA, Germany, St. Thomas, na kwingineko hadi kuua kabisa zahanati zetu, ndivyo hivyo wanavyozimalizia shule zetu tulizoachiwa urithi tangu enzi za Baba wa Taifa.
Mkuu, kama ataamua kusomesha hapa nchini, ni "kiongozi" gani asiyependa binti yake asome St. Francis, Marian Girls, Eden Garden, Rosmin Sisters, n.k? Ni mtawala gani asiyependa kijana wake asome Marian Boys? St. Joseph Millenium? Eden Garden? St. Gasper, Fezza, n.k.?
Kama wanavyokimbilia kutibiwa India, SA, Germany, St. Thomas, na kwingineko hadi kuua kabisa zahanati zetu, ndivyo hivyo wanavyozimalizia shule zetu tulizoachiwa urithi tangu enzi za Baba wa Taifa.
Shule nzuri kama Iyunga tech, mazengo tech,ifunda tech n.k zilikuwa zinachukua na kuandaa Engineers weledi kupindukia lakini maskini ya Mungu watawala wameziua! shule zilikuwa na wanafunzi the best in mathematics and science in general. Lakn sikuhizi watoto wanaopt science ni wachache sana na as a result hata walimu nao ni very very scarse!
Mungu tunusuru wajawako.
Ndugu wanajamvi nimekuwa nikiumia sana kwa jinsi siasa mbovu za hii nchi yetu zilivyoingizwa kila sekta ya nchi nakumbuka wakati ambao tulikuwa hatujaingiliwa na mmomonyoko wa maadili kulikuwa na shule nzuri kama ilboru, azania, forodhani, tabora boys,rungwe, na nyinginezo zilikuwa zinafanya vizuri sana lakini kuanzia viongozi waanze kumiliki shule zao binafsi wametuulia elimu nzuri iliyokuwepo hapo awali zimebaki shule za makabwela na waliokuwa nacho na hata mitaala wanayoitumia ni tofauti huwa najiuliza nchi moja inawezaje kuwa na matabaka mawili ya elimu wakati njia tunayokwenda ni moja?
Nawaoneo huruma watoto wa kizazi hiki kwa kuwa wanajengewa mazingira ya chuki kutokana na kuwepo na tabaka la waliokua nacho na wasiokuwa nacho tunachokiona sasa kwenye nchi za wenzetu uarabuni kwa miaka ijayo yatatufika tanzania ni nani alieiuwa elimu ya tanzania ?.
rungwe na azania hazijawahi kuwa shule za wenye vipaji maalum
kaka nimesoma ulichoandika nimeshawishika na mimi kucomment.....
1. tanzania ni nchi masikini kwa sasa, na ilikuwa masikini toka zamani. (kabla hata ya uhuru tulikuwa masikini).
suala la msingi lililopo tunashindwa kujua kwa nini sisi masikini, ukianza kuuliza mtu mmoja mmoja,, kwa nini sisi
masikini basi 80% hawana jibu sahihi, zaidi utasikia ufisadi,rasilimali zetu nk
2. umeongea point ya maana sana, technical school, masomo ya science. nani anasoma haya masomo kwa sasa,
ukienda kwenye shule zetu utakuta madarasa ya arts na biashara ndio yamejaa, kwenye vyuo vyetu watu wanasoma
procurement, political science, bussiness administration, accountants,laws hivi vitu havina nafasi katika taifa lolote
masikini, ukitaka ushahidi soma mataifa yaliyoendendelea wakati yapo masikini yalifanya nini kujikwamua?? nchi haina
technologists wakutosha na watu hawataki kusoma, kazi inayohitaji wahasibu 4 unakuta wameomba watu 3000, kazi
inayohitaji engineers 4 utakuta wameomba watu 3,
3. hakuna mwanasiasa mpaka sasa niliyemsikia anaongelea hili wote CDM, CCM, CUF, NCCR wako kimya kwenye hili, nchi haina technologist na hakuna mikakati yoyote, vijana hawataki kusoma field za science,,, kila mtu anasomea kuja kukaa ofisini,, site/polini tumeacha wazungu, wenyewe tuko mjini unategemea nini hapo, mwisho wa siku vijana wakikaa kwenye mitandao wao ni facebook, tweeter nk,, kwa sababu hawana cha kusoma humu, sio matechnologist, field walizosoma hazina impact kwenye dunia yetu inayokimbia.
*** TANZANIA NA AFRICA ZITAKUWA MASIKINI DAIMA,, ISIPOKUWA USINGIZI UKIISHA,, TUMESHAAMBIWA DUNIA NI
YA SCIENCE NA TECKNOLOGIA,, NYIE HAMTAKI KUSOMA SCIENCE....MNAKIMBILIA KWINGINEKO..
Mkuu mbona hujataja Alharamain, Kinondon Muslim, Almuntazir, Thaqafa, Ubungo Islamic, Qiblaten, Osama high school, Kirinjiko...,???
Mkuu mbona hujataja Alharamain, Kinondon Muslim, Almuntazir, Thaqafa, Ubungo Islamic, Qiblaten, Osama high school, Kirinjiko...,???
Shule nzuri kama Iyunga tech, mazengo tech,ifunda tech n.k zilikuwa zinachukua na kuandaa Engineers weledi kupindukia lakini maskini ya Mungu watawala wameziua! shule zilikuwa na wanafunzi the best in mathematics and science in general. Lakn sikuhizi watoto wanaopt science ni wachache sana na as a result hata walimu nao ni very very scarse!
Mungu tunusuru wajawako.