Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,639
Zipo Sheria zao zinasema vyama hivi vya kiraia visishiriki katika siasa.
Nilikuwepo kule siku moja nimekwenda kuanzisha Chama changu cha Buddha. Akatokea kiongozi mmoja,aliposikia nataka kufanya nini, akasema jihadhari,usijihusishe na mambo ya siasa.
And this soft-speaking person alikuwa kiongozi,Waziri wa Mambo ya Ndani mstaafu( Mbara).
Kwa hiyo si kama vile kuna mtu ana ugomvi na Gwajima. Isipokuwa Sheria ndio zinavyosema.
Sasa hapa wapo waumini wengi wanakwenda pale,sijui kama jambo hilo litachukuliwa maanani. Lakini sheria ndio hivyo.
Inaelekea hapa ipo unforeseen circumstance, ambayo hakuna aliyepanga au aliyetarajia,ambayo inaweza kuleta ubishi?
Chama changu cha Buddha kipo,kina watu 200