Zipi sababu za mwanaume kupigwa vibuti

Elia

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
3,425
567
Naomba michango yenu wandugu maana hali ni mbaya! :clock:
 
Kama hali tayari mbaya, ukijua sababu za kupigwa kibuti zitasaidia nini. Tafuta sababu za kutopigwa kibuti.
 
Kama hali tayari mbaya, ukijua sababu za kupigwa kibuti zitasaidia nini. Tafuta sababu za kutopigwa kibuti.

Lazima nijue tatizo kwanza ili lisijirudie mkuu!!!
 
Kwa hiyo unataka watu wafanye assumption ya uhusiano wako ili wakujulishe matatizo yako?

Matatizo ya jumla, sijapigwa kibuti kimoja! ni vingi :Cry:
 
kutokuwa muaminifu katika mapenzi,yaani kubadilisha wanawake kila kukicha,leo una mwajuma,kesho yake una kidawa,mara cha usiku.kutokumjali mwenzio,una hiyari uende ukaangalie mpira wa manchester na arsenal,kuliko kukutana na mpenzi wako,mara siku ya pili,upo busy na biashara au kazi[w.ke tunapenda attention}.Ahadi za uwongo,usijali sweetie,kesho nitakupitia nikupeleke dinner,siku ikifika,nipo kwenye kikao cha harusi si nilikwambia vile mdogo wangu ataoa?.yaani blaa blaa kila kukicha,akitaka mchezo anakuwa na wewe karibu,ndani ya mchezo,promise nyiiiiiiiingi za uwongo.mwishowe unaona mmmh hapa hapafai,kibuti kwa kwenda mbele.oooh nimesahau,na ubahili,umpe wewe tu,yeye story za hapa na pale zinakuwa nyingi,na pengine ana kazi nzuri kuliko wewe
 
For that case ok, But unamtokea tu mdada anakutolea nje unatoss tena the same issue inakuwaje da M.R??

first-Huna mvuto(umbile,sura,jinsi unavyovaa na unavyonukia)kwasababu unapo mface mtu,kitu cha kwanza ni kukuangalia physical appearance yako,kama haukubarikiwa sura,basi ataangalia mavazi(utanashati wako).

second- huna maneno matamu(ya kumtoa nyoka pangoni)unaweza ukawa na mvuto,ila ukifumbua tu mdomo(maneno unayoyatoa na sauti) basi inamkimbiza mtu

third-hauanzi mazungumzo vizuri(umekutana tu na demu unaanza kutoa pumba) pangilia verse.

The last one and the most important- ukiona unakataliwa basi ujue tayari ana wake wa kumoyo, sio wote wanataka vidumu.

Unahitaji darasa? la jinsi ya kutopigwa kibuti.
 
kutokuwa muaminifu katika mapenzi,yaani kubadilisha wanawake kila kukicha,leo una mwajuma,kesho yake una kidawa,mara cha usiku.kutokumjali mwenzio,una hiyari uende ukaangalie mpira wa manchester na arsenal,kuliko kukutana na mpenzi wako,mara siku ya pili,upo busy na biashara au kazi[w.ke tunapenda attention}.Ahadi za uwongo,usijali sweetie,kesho nitakupitia nikupeleke dinner,siku ikifika,nipo kwenye kikao cha harusi si nilikwambia vile mdogo wangu ataoa?.yaani blaa blaa kila kukicha,akitaka mchezo anakuwa na wewe karibu,ndani ya mchezo,promise nyiiiiiiiingi za uwongo.mwishowe unaona mmmh hapa hapafai,kibuti kwa kwenda mbele.oooh nimesahau,na ubahili,umpe wewe tu,yeye story za hapa na pale zinakuwa nyingi,na pengine ana kazi nzuri kuliko wewe

Dada, humo kwenye nyekundu umenigusa. Ila Hizo blu sio tabia zangu naifanyia kazi posti yote
 
Back
Top Bottom