Zion DaughterJamani kipindi hiki cha pasaka ningefurahi kuonana na binti huyu ,hebu niombeeni ndoto hii itimie
tafadhari zion daughter ni pm unipe namba yako japo nisikie tu sauti yako
Dah.. jamani mkuzi mbona umekataa kunimbia jina lako la ubatizo!?? Ningeweza kukupm lkn mpaka niombe ruhusa kwa baba Mwita Maranya..mimi mtoto wa geti kaliJamani kipindi hiki cha pasaka ningefurahi kuonana na binti huyu ,hebu niombeeni ndoto hii itimietafadhari zion daughter ni pm unipe namba yako japo nisikie tu sauti yako
i am watching you!Dah.. jamani mkuzi mbona umekataa kunimbia jina lako la ubatizo!?? Ningeweza kukupm lkn mpaka niombe ruhusa kwa baba Mwita Maranya..mimi mtoto wa geti kali
Ha ha ha.. Bishanga bana..Haya bora umwambie mimi nikisema hataaminiutamuwezaaa?staftahi yake protea st peter,lunch serena,dinner yake anapendelea chinese pale golden tulip,shopping mariedo,dhahabu shurti akanunue dubai......jipime ndungu yangu si unajua kina cha maji hakipimwi kwa miguu miwili?
Mimi na wewe tena!!???i am watching you!
tatizo nakugwayaMimi na wewe tena!!???
Ndio napenda hivyo.tatizo nakugwaya
Ndio napenda hivyo.
Jamani kipindi hiki cha pasaka ningefurahi kuonana na binti huyu ,hebu niombeeni ndoto hii itimie
tafadhari zion daughter ni pm unipe namba yako japo nisikie tu sauti yako
Mimi na wewe tena!!???
zion daughter usikatae wito kataa neno,achana na bishanga ameshazeeka
Bishanga mbona unanikatisha tamaa,zion please mzee mwita maranya hana neno,basi ngoja nikutakie ijumaa kuu njema