Ni jambo la kawaida sana mtu kupewa simu ya gharama kutoka kwa ndugu, jamaa, rafiki, au Kampuni unayofanyanayo kazi. Kwa upande mwingine hii zawadi nzuri uliyopewa na kuifurahia inaweza kuwa ni mtego mbaya wa kunasa kila kitu unachokifanya kwenye simu yako. Nakumbuka nikiwa nafanya kazi na Taasisi fulani nilikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kutumia MOTOLORA L7 ambazo tulipewa watu wachache sana kwenye Taasisi hiyo. Tulifurahi sana kupata simu nzuri bila kujua kwamba MD alikuwa anadukua mawasiliano yetu mpaka pale tulipomshutukia. Zipo faida na hasara za kutumia njia hii. Faida: 1. Inajuwezesha kuzigundua njama na hila mbaya zinazofanywa na wafanyakazi wako/rafiki yako, na unaweza kuzizima kabla hazijatokea. Hasara: 1. Ni kinyume cha sheria kudukua mawasiliano ya mtu ukigundulika unaweza kushitakiwa napengine kuhukumiwa kifungo. 2. Inakukazimu kuingia gharama ya kumnunulia mtu/watu simu za gharama ili upate kuwadukua. Mwisho: Unapopewa simu ukawa na wasi wasi nayo uza ununue nyingine kama hiyo.

Dawa yake ndogo hamna kupokea zawadi ya simu yenye dalili ya kufunguliwa au basi kama imefunguliwa ipokee fresh tu afu fanya Factory Reset u-wipe kila kitu najua hapo hawajakukamata...
.Good observation by the way maana nimeona mwenyewe wafanyakazi wengi wanapewa simu nzuri nzuri kama zawadi kumbe kunakuwepo na kitu hapo
Ni jambo la kawaida sana mtu kupewa simu ya gharama kutoka kwa ndugu, jamaa, rafiki, au Kampuni unayofanyanayo kazi. Kwa upande mwingine hii zawadi nzuri uliyopewa na kuifurahia inaweza kuwa ni mtego mbaya wa kunasa kila kitu unachokifanya kwenye simu yako. Nakumbuka nikiwa nafanya kazi na Taasisi fulani nilikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kutumia MOTOROLA L7 ambazo tulipewa watu wachache sana kwenye Taasisi hiyo. Tulifurahi sana kupata simu nzuri bila kujua kwamba MD alikuwa anadukua mawasiliano yetu mpaka pale tulipomshutukia. Zipo faida na hasara za kutumia njia hii. Faida: 1. Inajuwezesha kuzigundua njama na hila mbaya zinazofanywa na wafanyakazi wako/rafiki yako, na unaweza kuzizima kabla hazijatokea. Hasara: 1. Ni kinyume cha sheria kudukua mawasiliano ya mtu ukigundulika unaweza kushitakiwa napengine kuhukumiwa kifungo. 2. Inakukazimu kuingia gharama ya kumnunulia mtu/watu simu za gharama ili upate kuwadukua. Mwisho: Unapopewa simu ukawa na wasi wasi nayo uza ununue nyingine kama hiyo.
Kwa teknolojia iliyokuwepo hata uwe na simu aina gani, anaetaka kukunasa maongezi yako anaweza.
Huna pa kujificha, labda uwache kutumia simu kabisa, haijalishi ni smartphone au dumbphone au aina nyingine yoyote.
Ni kweli kabisa kwa Technologia ya sasa wakitaka kukupata mawasiliano yako huwezi kwepa hata kama unatumia simu zinazotumia Satellite kuwasiliana moja kwa moja.
[h=2][/h] Posted 22 August 2012 19:56 GMT
This infographic was originally published on the Compliance and Safety blog.