Wote tunajua wazi kuwa
kipya ni kipya tu na kina thamani yake
Wengi wetu hatuna uwezo wa kununua magari mapya lakini tuna uwezo wa
kununua yaliyotumika hasa kutoka nje ya nchi
Mara nyingi magari yenye low milage bei yake huwa juu kwakuwa
halijatumika sana
Sasa najiuliza tu ingekuwaje kama zile za wanawake na zile za wanaume
zingekuwa zinahesabu kilometa? Yani kila ukifanya au ukifanywa mshale
unasogea
Nina hakika kuna watu wangekuwa salvage au write off kwa ajili ya
kungonoka
Lakini jiulize hata wewe unayesoma huu uzima je ungekuwa umefungwa hicho
kifaa ungekuwaje leo?