ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

Kweli shukuraniu ni muhimu. Kuna hawa jamaa wanapost kazi on daily basis. Ni Kind of a social network hivi. MAMBOPOINT.COM, they are not as fancy lakini wanaserve purpose
 
upo sawa mdau...But if we don't change, change will change us... Good point, But poor selection of words in communication...Please change too...
 
kweli kabisa, hii inakera sana, unatamani kuliona tangazo moja kwa moja unakutana na link, bundle lenyewe la magumashi, wekeni kitu live and direct
 
unapoamua kumsaidia mtu we saidie sio unamsaidia na kumuewekea mazingra magumu ya kutaka kupata mafanikio yatakanayo na usaidizi wako
 
inapendeza ila na wewe mtafutaji unatakiwa usote hiyo kazi kwa kufuta maelekezo huska
 
sasa hapo kipi bora kuweka announcement and then link au kutoweka hilo tangazo ili muendelee kusugua bench kitaani
 

Ha ha ha!
Hata Kiswahili fasaha hujui,utapata kazi gani?
Samahani kama nimekutukana.
 
Hii ndio tunayoita SPOON FEEDING ambayo ni tabia yetu wabongo. Elimu yetu ipo hivi na tunaingia mtaani tukiwa na tabia hii alafu unalalamika kazi hazipatikani. Utasota mtaani kama walivyosota wafuasi wa Kibwetele.
 
Watanzania tunapenda vya mteremkooo! yaani unawekewa na link bado unalalamika...mtu kajitolea kutanga kazi wewe badala ya kushukuru unalalamika!
 
Watanzania tunapenda vya mteremkooo!(spoon feeding! why?) Yaani mtu unawekewa na link bado unalalamika...mtu kajitolea kutanga kazi wewe badala ya kushukuru unalalamika! Tujaribu hata na sisi kumake effort...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…