dokolombwike
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 373
- 623
Ukitaka kuishi vizuri na mkazidi kumpenda mke wako unatakiwa uoe mtu mwenye vitu unavyovipenda mfano,kama unapenda mwanamke mwenye chura kidogo usijaribu kuoa ndizi mshale a.k.a flat screen,sababu ukioa ndizi mshale nawewe ulikuwa unataka chura kila ukimuona mwanamke mwenye chura utakuwa unashtuka na roho inakuuma,na kujipa moyo eti mwanamke ni tabia, au mfano mkeo hana chura itabidi utafute bekitatu asiye na chura ili mkewako apone,kuna mtu alikuwa anatafuta beki tatu ila akatoa vigezo eti asiwe na chura,kufwatilia kumbe yeye hana sasa akawa anaogopa,ndo maana nikaja kuanzisha huu Uzi.