lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,184
- 2,689
Ukishapiga dua yako inatosha usiache viti wazi ina maana ukae usilale au..Watafiti wa maswala ya Paranormal ability, wanashauri kwamba.
1.Unapo lala hakikisha kwamba, sehemu zote za kona katika chumba chako uwe umeweka kitu chochote ,zisiwe patupu kwasababu wana amini roho chafu kama wachawi na ghosts wanatumia kona kama njia ya kuingilia ndani.
2.Wanashauri usipende kulala na taa ikiwa imewashwa ,kwasababu usiku roho chafu/ghosts wanapenda sana kutembelea sehemu zile angavu.
3.Wanashauri pia, usipende kuweka sehemu yako ya kulalia igusane na ukuta mfano kitanda hakitakiwi kugusa ukuta kwasababu wana amini roho chafu/ghosts wanapendelea kusimama sehemu zile za ukuta.
4.Mwisho usipende kuacha kiti wazi usiku, wakati unapolala ,unashauriwa kuweka chochote kitu juu yake...