Realboynicky
Senior Member
- Mar 31, 2023
- 166
- 311
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume ndio mnakua wasemaji wa wanawake. Shame on you.
Nitakuaje msafi muda wote na kazi yangu ni kusaidia fundi
Wewe ni mwanamke au unawasemea tu wanawake?1.kuwa msafi mda wote ,haijalishi unakipato gani jitahidi uvae vizuri unyoe vizuri. hamna kitu wanawake wanapenda kama mwanaume msafi hasa ukivaa nguo nyeupe
2.Harufu nzuri. Hakikisha unanukia vizuri. Mwili,mdomo,nguo chumbani etc
3.Unajishughulisha, hamna kitu wanawake wanavutiwa nacho kama mwanaume anae hustle na kupambania ndoto zake. Sio lazima uwe millionaire lakini kile kitendo cha wewe kuhustle kinawavutia wanawake wengi.
4.Uwe msiri. Hii inawapa wanawake wengi security coz wanaona mambo yao hayawezi gundulika wala kujulikana kwa watu
Wxactly! On point kabisa. Nimemuuliza hapo juu hili swali ila ameutelekeza uzi wake... na akome kabisa. Kichwa maji kabisa!Wanaume ndio mnakua wasemaji wa wanawake. Shame on you.
Nitakuaje msafi muda wote na kazi yangu ni kusaidia fundi
Hata Wazungu wenyewe hawachambii tishu pekee, bali wanachambia na maji pia. Nafikiri watu hawajui matumizi sahihi ya tishu. Tishu ni kufuta unyevu na maji baada ya kushamba, siyo kufutia mavi.80% ya wanaume wanaojipulizia perfume huwa wananuka mavi..wazee wa kuchambia tishu..
Nikishindwa nitaenda CAS tu1.kuwa msafi mda wote ,haijalishi unakipato gani jitahidi uvae vizuri unyoe vizuri. hamna kitu wanawake wanapenda kama mwanaume msafi hasa ukivaa nguo nyeupe
2.Harufu nzuri. Hakikisha unanukia vizuri. Mwili,mdomo,nguo chumbani etc
3.Unajishughulisha, hamna kitu wanawake wanavutiwa nacho kama mwanaume anae hustle na kupambania ndoto zake. Sio lazima uwe millionaire lakini kile kitendo cha wewe kuhustle kinawavutia wanawake wengi.
4.Uwe msiri. Hii inawapa wanawake wengi security coz wanaona mambo yao hayawezi gundulika wala kujulikana kwa watu
umeyajuaje mkuu80% ya wanaume wanaojipulizia perfume huwa wananuka mavi..wazee wa kuchambia tishu..
Wxactly! On point kabisa. Nimemuuliza hapo juu hili swali ila ameutelekeza uzi wake... na akome kabisa. Kichwa maji kabisa!
Ulisema ishu ni usafi,now unasema ishu ni kazi. Which is which mbona una ndimi mbili mbili? Jibu moja, kazi au usafi?Wengi wenu humu mnaokosoa either ni wachafu au Hanna kazi ndio maana mmemaindi [emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo tafuta hela. Acha ujinga.1.kuwa msafi mda wote ,haijalishi unakipato gani jitahidi uvae vizuri unyoe vizuri. hamna kitu wanawake wanapenda kama mwanaume msafi hasa ukivaa nguo nyeupe