Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

Afu erick kwa nini unatumia picha ya Baba V kama avatar yako?
 
Erickb52 ulishawai kumlazimisha msichana kushiriki tendo la ndoa bila ridhaa yake??
Hahahaha.... bibie CUTE unauliza nywele saluni? Mbona mara nyingi tu?


Hii ilikuwa mwaka jana tu, akabambwa.

Na mwaka huu akaingia kwenye anga za babu....


Chezeya Erickb52 weye?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…