Zinduna njoo unitulize mtima wangu...

Zinduna njoo unitulize mtima wangu...

Hahaha hahahahahahaha kwkwikwi! Ni sheeder! Kwa kusoma tuu mada zake ushamtafutia apettite tayari?
 
I would like to dedicate...the song Real Love...by Massari for my one and only... Zinduna
 
Last edited by a moderator:
Wanajamii wenzangu mwanajamii mwenzenu nimezama kwenye dimbwi la mahaba ya dhati kwa kimwana Zinduna.

Naombeni Msaada wenu jamani wanajamii wenzangu hatimaye nimtwae..kimwana Zinduna..naa hidi kumhonga hata Fekon yangu....nisaidieni jamani..mwenzenu.
Kweli umenishusha hadhi yaani miye ni wa kuhongwa Bodaboda?
 
Duh, sasa umezamaje kwenye dimbwi hata humfaham? Hem' wekeni miadi ya kukutana kwanza, pale forodhani gardens, huwa anapenda sana kubarizi pale wikiendi...then baada ya hapo ulete mrejesho...!!

Niko zangu Tangaaaa
 
Dada Zinduna tafadhali,huyu Nia yake Ni ya kutia mashaka,mfungie vioo fastaaaaaa❗
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom