Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Ningekuwa na uwezo ningeifanya Jpil mchana uwe nusu saa tu halafu masaa yanayobaki yote gizaaa!![emoji23][emoji23]
Hahahahahaa unapenda ku popo eeeh......
Ningekuwa na uwezo ningeifanya Jpil mchana uwe nusu saa tu halafu masaa yanayobaki yote gizaaa!![emoji23][emoji23]
wakati wake ukifika atakuja tuTatizo nae kapotea sijui kaamkia wapi weekend!!..
Mnataka kupima nini wadogo zangu?hahaaa ukampime nani sasa ...shunie au??
si nikampime dada yako!!!..😉
[emoji23] [emoji23] kwa wadogo zangu mnapima miguu au mnataka kutuletea soksi za manyonyo?mdogo wako anataka mimi kaka yako nikupime size ana soksi kwa ajiri yenu pia!.
Nijue kwanza aina ya kipimoUnaogopa vipimo?
Siogopi hatahujajibu swali, unaogopa vipimo??..
Teeeh nilitaka nkuite kumbe umezionaHahaha
Kuna mbwa mkali getininakuja PM kukupima basi..