Zinauzwa!!...

Zinauzwa!!...

Dooh kweli uzeee umeshikahatamu...nasinzia hatarii.
Polee rudi kalale najua nyie Majasusi ya Mahaba sasa hivi mpo viwanja na hivi weekend!!..
 
usiogope mkuu ....kesho saa 6 mchana tarajia kupokea mzigo wako
Hauna na soksi za jinsia ya wenzetu!?..Najua hushindwi kitu, muzee fulu ma idea kwa head yako, chukua vipimo kwa Jolie Jolie tengeneza bidhaa matata!.
 
hahaaa vipimo kwa jolie tena ....jolie Dada yangu huyo mimi nawezaje kumpima papuchi """??
 
Polee rudi kalale najua nyie Majasusi ya Mahaba sasa hivi mpo viwanja na hivi weekend!!..

Hahahahaaa yaani wee acha tuu nilishurutishwa hatariii nashukuru kumekucha.
 
Hapo kuja kulala J3!..Leo jiandae kukesha na Jpili kumalizia mkesha!... Lakini sijui kwanini Jpili mchana unakuwaga mrefu na usiku mfupi tu!!..😀
 
Hahahahaaa kama umejuaje!! ndo inavokuwaga hivo.
 
Ningekuwa na uwezo ningeifanya Jpil mchana uwe nusu saa tu halafu masaa yanayobaki yote gizaaa!![emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom