Zinauzwa!!...

Zinauzwa!!...

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,312
Reaction score
12,197
IMG-20180323-WA0038.jpg

Haiya haiya wale wazee wa baridi mzigo brand new umewasili!. Kwa mawasiliano na oda mcheki hearly!!😀😀
 
haya mkuje zinauzwa .....mambo ya kuziacha mbupu zikiruka ruka kama makende ya beberu anayekimbia....ifike mahala yapigwe marufuku

mahondaw
Mzigua90
Shunie
Witnes
ninah
nyinyi mnapaswa mnunue ili kwa sitiri Jamaa zenu maana some tymz Mizigo huwa inakimbia kimbia upnde upnde kama wakiambiaji wa marathon ....ila wakiificha mzigo katika hzo Sox ....wallah mambo yatakuwa kama heaven
 
Hahahahaha eti mizigo doh...

cc Smart911
 
Hahaaa
kwawale wateja mliopo arusha..Kilimanjaro ..njombe ..makambako ...na iringa fanyeni Ku oder mapema mzigo umebaki mchache. ...kwa maelezo zaidi nifuate Pm.....
wale kina fulani wa kulalamika oohh viLemutuz, ooh viba100, ooh mwanaume suruali mzigo huo sasa!..
Tumezichoka kelele zenu, mnatupenda mzigo huo tununulieni visipigwe baridi vikaingia ndani!..
Cc: Rebeca 83 [USER=381023]Shunie Money Penny Ney[/USER]
 
View attachment 723525
Haiya haiya wale wazee wa baridi mzigo brand new umewasili!. Kwa mawasiliano na oda mcheki hearly!!😀😀

Hahahahahhaa looh, nimezipenda. Mie naomba pisi tatu nimfanyie mtu fudenge sapraisi. Rangi tofauti tofauti na uzuri alikaa hiyo boksa zinapumzika aahahahahahahahaa looh.

Nimejikuta nawaza zoezi la kuvaa hiyo soksi looh.

Jasusi wa Mahaba

Kasie Matata.
 
Uzuri wa hizi ukishavaa ukafunga na kamba unaweza zurula ndani ya nyumba kwa amani!..huku ukipigwa upepo kwa mbalii😀.
Uvaaji wake atakuelekeza Shunie mteja wetu wa kwanza!.. Mama Sabrina alinunua zake 4 naona yupo course bado!..

Lakini na wewe Kasie hilo "Jasusi wa Mahaba" kutishana sasa huko!. kama tupo Kibiti!!..
 
Dooh kweli uzeee umeshikahatamu...nasinzia hatarii.
 
Back
Top Bottom