Zinakutosha kweli wewe?

Wadada wakishaolewa wanageuka kuwa na gubu na roho mbaya kiasi cha kuifanya nyumba kukosa amani.....ndio maana watu wanakimbilia kando kwenda kukonga nyoyo.....
 
Kwa namna ninavyoishi kwenye ndoa yangu hata mi nawezq fanya hivyo
 
Ndoa yangu ina mwaka mmoja na nusu najuata kuoa kiukweli mwana mke ana visa kila ck tangu niishi nae amenisemea wanawake zaidi ya 20 kila nikirudi kazi nikilala anaanza kuikagua cm yangu haniamini hata kidogo nimeamua kutoka moyoni kuwa niatchepuka hata kama barabara kuu haina foleni nyamambaf zake
 

Unaweza kudhani hivi vitu havipo lakini chini ya paa za nyumba zetu ndani ya ndoa Luna mengi ya kuumiza hisia za moyo
 
Kama zinamtosha au hazimtoshi ni vigumu kuhukumu maana mazingira ya nyumba yake kuu siyajui.Pia liko suala jingine hili:

Kuna michepuko ina akili sana kuhusu matumizi.Kidogo unachompa anakipangia vizuri sana. Kuna thread iko hapa JF jukwaa la mmu mdau mmoja anasimulia jinsi mchepuko wake ulivyo hodari katika maisha kiasi kwamba amebuni mradi ambao unawaingizia milioni tatu kwa mwezi!
 

pole mkuu,, tambua kuwa ww ni kichwa cha nyumba na na unatakiwa uwe na sheria na taratibu zako ambazo zinatakiwa zifuatwe..... Mwanamke anafanya kulinga na ww unavyoiongoza nyumba yako..... Hapo ameshatikisa kiberiti ameona njiti zikoje ndio maana anakuletea gubu.......
 
Nimekupenda mkuu kwa namna majb yako yanavyoishi c majb mfu cjui kama ningeweza kuonana na ww ungenifaa sn
 
Tatizo wanawake wengi ukisha muwwka ndani husahau majukumu ya na baya zaidi hukuchukulia km wa kawaida saaana na hata heshima stahiki hutoweka,gubu na kero huibuka na hili hupelekea watu kufanya hivo,hakuna mtu hapendi raha na amani,km njia kuu kuna amani hauwezi kufanya hivo na hata ukifanya utaishia kuumia roho na hataka sana utarudi njia kuu,gubu vituko na nyodo za wanawake hufanya watu kusema ukitaka kuona matendo ya shetani mtizame mwanamke mwenye vituko na gubu
 
Huu ndio upendo mke anatakiwa kula vitu vya afya kama hivo ,hii michepuko ile minyama inenepeane ife kwa magonjwa afu unatafuta mwingine ,mamaa anabaki supa kwa kula mikundekunde!
 
unategemea nini kama mchepuko una kuvua mpaka viatu na wife anakuonyesha chakula kwa mguu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…