Zinaa katika uislamu....

Kwa hiyo mtumwa unajilia tu bila mahari au ndoa?
Nilishasema kuanzia aya ya 19-25 inazungumzia ni nani unaweza kuoa na kwa namna ipi na nani huwezi kuoa! Sasa wewe hilo suala la uwezekano wa "kuweza kumla bila ndoa" umetoa wapi?!
 
Hata mm niliskia hii. Ila hua napata wasiwsi kuliuliza wasije sema nakashifu dini ya Mtume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya aya na hadithi kipi chenye hadhi ya juu? Hadithi inaweza kutengua aya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfiaukweli,

Utaleta hizo aya, au nisepe zangu?! Si kawaida yangu kulumbana mambo ya dini na hivyo ningependa kufahamu kama hizo aya unazo ili kama hauna, nisepe zangu for good! Au huu ukimya ndo unafanya kazi ya kuzisaka?!
 
Mbona hata kitimoto inaruhusiwa ukiwa na njaa ya kufa huna option? Huo ndio uislam Mungu hakutaka tupate taabu.
 
Nilishasema kuanzia aya ya 19-25 inazungumzia ni nani unaweza kuoa na kwa namna ipi na nani huwezi kuoa! Sasa wewe hilo suala la uwezekano wa "kuweza kumla bila ndoa" umetoa wapi?!

Ungejibu ndio au hapana. Naomba usome hapa halafu unieleweshe

The Quran in Sura 23:5-6 says:
5 [Most certainly true believers] . . . guard their private parts scrupulously, 6 except with regard to their wives and those who are legally in their possession, for in that case they shall not be blameworthy. (Sayyid Abul A’La Maududi, The Meaning of the Quran, vol. 3, p. 237)
The key words are "those who are legally in their possession." Maududi (d. 1979) is a highly respected commentator on the Quran, and he interprets the plain meaning of the clause, saying that sex with slave-girls is lawful.
Maududi writes:
Two categories of women have been excluded from the general command of guarding the private parts: (a) wives, (b) women who are legally in one’s possession, i.e. slave-girls. Thus the verse clearly lays down the law that one is allowed to have sexual relation with one’s slave-girl as with one’s wife, the basis being possession and not marriage. If marriage had been the condition, the slave-girl also would have been included among the wives, and there was no need to mention them separately. (Ibid. p. 241, note 7)
The
 
Mkuu naomba commentary kidogo juu ya hii 4:24 isije kuwa imehalalisha kununua malaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemwambia aweke aya iliyokamilika badala ya kunyofoa maneno hapa na pale na kuita ni aya! Ninachoona ni kwamba amekimbia jumla! Hiyo anayolazimisha hayo maneno ni Quran 4;24 ambayo inasema: Na hiyo Sura ya 4, kuanzia aya ya 19-25, inazungumzia ni mwanamke gani unaruhusiwa kuoa na yupi huruhusiwi!!
 
Mkuu weka aya kwa kiswahili kwanza.

Aya nzima ni hii apa alafu useme wapi pamehalalishwa mutaa

۞ وَالْمُحْصَنَاتُ مِنَ النِّسَاءِ إِلَّا مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُكُمْ ۖ كِتَابَ اللَّهِ عَلَيْكُمْ ۚ وَأُحِلَّ لَكُم مَّا وَرَاءَ ذَٰلِكُمْ أَن تَبْتَغُوا بِأَمْوَالِكُم مُّحْصِنِينَ غَيْرَ مُسَافِحِينَ ۚ فَمَا اسْتَمْتَعْتُم بِهِ مِنْهُنَّ فَآتُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ فَرِيضَةً ۚ وَلَا جُنَاحَ عَلَيْكُمْ فِيمَا تَرَاضَيْتُم بِهِ مِن بَعْدِ الْفَرِيضَةِ ۚ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلِيمًا حَكِيمًا

(AN-NISAAI - 24)
NA WANAWAKE wenye waume, isipo kuwa walio milikiwa na mikono yenu ya kulia. Ndiyo Sharia ya Mwenyezi Mungu juu yenu. Na mmehalilishiwa wasio kuwa hao, mtafute kwa mali yenu kwa kuowa pasina kuzini. Kama mnavyo starehe nao, basi wapeni mahari yao kwa kuwa ni waajibu. Wala hapana lawama juu yenu kwa mtakacho kubaliana baada ya kutimiza waajibu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua na Mwenye hikima.

Hivi hapo mutaa iko wapi mkuu?
Twende taratibu
 
Mfiaukweli,

Utaleta hizo aya, au nisepe zangu?! Si kawaida yangu kulumbana mambo ya dini na hivyo ningependa kufahamu kama hizo aya unazo ili kama hauna, nisepe zangu for good! Au huu ukimya ndo unafanya kazi ya kuzisaka?!

Nishakujibu kitambo. Ila kama hujaona narudia

The Quran in Sura 23:5-6 says:
5 [Most certainly true believers] . . . guard their private parts scrupulously, 6 except with regard to their wives and those who are legally in their possession, for in that case they shall not be blameworthy. (Sayyid Abul A’La Maududi, The Meaning of the Quran, vol. 3, p. 237)
The key words are "those who are legally in their possession." Maududi (d. 1979) is a highly respected commentator on the Quran, and he interprets the plain meaning of the clause, saying that sex with slave-girls is lawful.
Maududi writes:
Two categories of women have been excluded from the general command of guarding the private parts: (a) wives, (b) women who are legally in one’s possession, i.e. slave-girls. Thus the verse clearly lays down the law that one is allowed to have sexual relation with one’s slave-girl as with one’s wife, the basis being possession and not marriage. If marriage had been the condition, the slave-girl also would have been included among the wives, and there was no need to mention them separately. (Ibid. p. 241, note 7)

Na pia gonga hapa
The Four Pillars Of Mut'a
 
Ndio nami ilinibidi nipate ufafanuzi kuhusu hilo. Lakini hadi sasa hakuna aliegusia matumizi ya maneno "ujira kulingana na raha ilivyopatikana'
Nimekuambia, weka aya iliyokamilika wewe, acha kusema uongo manake kama kweli wewe ni Mkristo, katu huwezi kusema uongo unless kama nawe ni wale ambao Matayo 21-23 imewaelezea: Angalia ndugu, isije siku ya siku Bwana Yesu, ukiwa na wenzako akawaambia "...ONDOKENI, SIWAJUI MTOKAKO!"
 
Biblia takatifu inasema ikimbie zinaa.
Ikimbie ina maana hata isijusogelee
 
Mfiaukweli,

Utaleta hizo aya, au nisepe zangu?! Si kawaida yangu kulumbana mambo ya dini na hivyo ningependa kufahamu kama hizo aya unazo ili kama hauna, nisepe zangu for good! Au huu ukimya ndo unafanya kazi ya kuzisaka?!

Mkuu kwann ufikirie tu kwamba "those in their possession" ni slave-girls na sio watoto au wake (wakurithi)? Naomba ufafanuzi ili nielewe zaidi maana watoto wa kike sio wake but they are in my possession.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwann ufikirie tu kwamba "those in their possession" ni slave-girls na sio watoto au wake (wakurithi)? Naomba ufafanuzi ili nielewe zaidi maana watoto wa kike sio wake but they are in my possession.

Sent using Jamii Forums mobile app

It is even worse tafsiri hii uliyoileta sasa. Yaani umewajumuisha hadi watoto??!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…