Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,912
- 3,021
Mfiakweli
Labda fuatilia USHIA kuhusu Quraan
nadhani utapata majibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna majibu (na unajua kabisa kuwa hakuna mtume au Qur'an tofauti kwa Sunni na Shia). Kuna mtu anaitwa Zakir Naik aliejinasibu kuwa Muslim Scholar hadi leo anaogopa live debate na Christian Prince, Dr David Wood na Robert Spencer.
Ukitaka kuujua ukweli fuatilia kwenye YouTube debates za hao watu niliokutajia, na nakuthibitishia kuwa ukiisoma Qur'an japo 20% utaanza ku-question imani yako.
Napenda tuanze na Ushia kuhusu Quraan
Ikiwa Shia anaikataa Quraan hii,Basi jua anamkataa mpaka Mtume aliekuja na kushushiwa Quraan
mfano mdogo tu
angalia kauli hii ya mashia
(إن أمير المؤمنين ألف القرآن كما أنزل بعد وفاة الرسول صلى الله عليه وسلم وجاء به إلى أبي بكر وعمر وجماعة من الناس فعرضه عليهم، فقالوا: لا حاجة لنا في قرآنك ولا فيك، عندنا من القرآن ما يكفينا، فقال الإمام: أما -والله- لن تروه بعد هذا اليوم حتى يقوم قائمنا)..
) [نعمة الله الجزائري شرح الصحيفة السجادية (ص 43)]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye hiyo hadith hakuna neno Shia. Alikuambia nani hao waliosema hawana haja na Qur'an ni Shia?
Tafsiri ya hicho ulichokileta hapa ni hiki:
The Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) came to Abu Bakr and Omar and a group of people and offered it to them. They said: There is no need for us in your Qur'aan or in you. We have enough of the Qur'aan. The imam said: After this day until our listener) ..
Kwakuwa hakuna neno Shia
Basi halijasemwa na Mashia?!
au kwakuwa wajifanya hujui,basi na sisi tuamini kuwa hujui!!!
Ikiwa Msomi wao
Kitabu chao wanachokiamini wao
wameandika wao
Basi hatufai kusema ni wao wamesema,mpaka wasema
SISI MASHIA!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje kuwa hao walikuwa ni Shia?
Nenda kwa mwalimu wako Google Trans
Mwambie akutafsirie na hili
إن الإمام عليّ لم يتمكن من تصحيح القرآن في عهد خلافته بسبب التقية، وأيضاً حتى تكون حجة في يوم القيامة على المحرفين والمغيرين، ثم قال: (إن الأئمة لم يتمكنوا من إخراج القرآن الصحيح خوفاً من الاختلاف بين الناس ورجوعهم إلى كفرهم الأصلي).( ).!!!!
– 220)].
يقول المفيد- ونحن لا نقرأ بخلاف ما يقرأ عليه الناس من القرآن؛ لأنه متى ما قرأ الإنسان بما يخالف ما بين الدفتين غرر بنفسه من أهل الخلاف، وأغرى به الجبارين، وعرض نفسه للهلاك -إلى أن المفيد- إلى أن يقوم القائم فيُقرئ الناس القرآن كما أنزل الله تعالى).
) [المسائل السرورية للمفيد على ما نقله العلامة المجلسي في مرآة العقول وكذلك المحدث البحراني في الدرر النجفية].
Na je!Vitabu hivi ni vya Mashia au wanasingiziwa tu?!!!
Na hawa Wanachuoni,ni wa Kishia au wanasingiziwa tu!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
angalia
Mtume wa Allah anasema
إني كنت أذنت في الاستمتاع من النساء وإن الله قد حرم ذلك إلى يوم القيامة
Hakika ya mimi,niliwaruhusu kustarehe na Wanawake(Mut-aa),na Hakika ya Allah ameliharamisha hilo mpaka siku ya Mwisho(Qiyama)
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafanya yale yale kila siku. Changing goal posts at every twist and turn
Hapa nafurahia kuwa na chembe chembe za uislamu kwenye damu yangu.
SHIA
wana nguzo yao wanaiita تقية
Kuificha Imani yao Halisi,na kudhihirisha Imani isiyo ya kweli mbele ya wana jamii husika
Ili kutaka kulifikia lengo lao la siri,hata kama baada ya miaka na mikaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nafurahia kuwa na chembe chembe za uislamu kwenye damu yangu.