masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Mohamadi alikua mtu wala hakuna tabu kupata usumbufu kutoka kwa binadamu, kituko ni huyu mnaedai ni Mungu kupigwa na kutemewa mate na alio waumba, kwa kweli Muumba wa mbingu na nchi amekosa namna ya kumuokoa kiumbe wake mwanadamu, kutoka kwa viumbe wake mashetani, mpaka aje apigwe yeye mwenyewe na hao hao aliwaumba mwenyewe , hiki ni kituko cha miaka yoteLakini Masudi hapo cha ajabu nini wakati Hata Allah amebainisha [emoji117] View attachment 1002178 halafu rejea adha aliyo fanyiwa Mtume na makureshi kule Taifu [emoji4] unaambiwa adhabu zoote alipewa Mtume na nyingine tuona fedheha kuzitaja [emoji15] baada ya hapo akakusanya nguo zake akakimbia..rejea kitabu maisha ya Nabii Muhammad uk.24 mtunzi qadi shehe Abdalla Salehe farsi [emoji106] huoni ya Yesu ni madogo [emoji350] wee mkubwa Masudi bro [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka ushahidi gani kijana Abraham alichofanya hakina tatizo ndio maana Mungu wala hakumkanya popote zaidi yule mtoto Mungu alimbariki kweli kweli, tena alijua kuna wapuuzi kama wewe ambao mtakuja na kujaribu kuleta kasoro kwa mtu huyu Ibrahim , hili ndio jibu lenu muafakaWaukaye ni heri ungenifundisha kwa kuniwekea Ushahidi kwamba Abram alipata wahyi toka kwa Mungu kwamba ampge mjengo house girl wake [emoji4] lakini ushauri umetoka kwa mkewe bi Sarah [emoji38] [emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu wako anaweza kubebeshwa mimba na kuzaa mapacha ?
Umejibu usilo ulizwa , nani alimpa mamlaka malaika wa bwana kumpa jina lile yule mtoto wa kijakazi, tena akamfanya kuwa taifa kubwa kama aitoshi akakua mbele za Mungu, huyo ndio mtoto makini wa kijakazi
Kanoe huo wembe mbona ni butu [emoji38] [emoji38]Acha kutia huruma , umechezea wembe wacha ukukate
Kumbe Hujui Yesu alikuwa Mungu KAMILI na MWANADAMU KAMILI [emoji4] au mungu wako uwezo huo hana [emoji38] ulicho ANDIKA ni pale Yesu alipokuwa ktk hali yake ya kibinadamu MTUME na NABII [emoji123] [emoji106] MUNGU WANGU NI RAHA TUPU [emoji122] [emoji122] [emoji4]Mohamadi alikua mtu wala hakuna tabu kupata usumbufu kutoka kwa binadamu, kituko ni huyu mnaedai ni Mungu kupigwa na kutemewa mate na alio waumba, kwa kweli Muumba wa mbingu na nchi amekosa namna ya kumuokoa kiumbe wake mwanadamu, kutoka kwa viumbe wake mashetani, mpaka aje apigwe yeye mwenyewe na hao hao aliwaumba mwenyewe , hiki ni kituko cha miaka yote
waukaye heri ungenifundisha umma wa Ibrahim kulikuwa bado Tora haijaja ningekuelewa kwa uzuri [emoji4]Unataka ushahidi gani kijana Abraham alichofanya hakina tatizo ndio maana Mungu wala hakumkanya popote zaidi yule mtoto Mungu alimbariki kweli kweli, tena alijua kuna wapuuzi kama wewe ambao mtakuja na kujaribu kuleta kasoro kwa mtu huyu Ibrahim , hili ndio jibu lenu muafaka
MWANZO 12:3
";Nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa";
sasa wewe endelea kumumunya maneno, nafikir maana ya laana na baraka zinafahamika, wewe nani wa kumsingizia uovu Ibrahim ? ahahahaahhhahhaha
Sahihi,kuna hiyari ya kufanya yale yaliyo sunnaKwa hiyo kuna hiari ya kufuata au kutofuata jambo katika Uislamu?
Naelewa sana kuhusu Sunni na Shia. Tatizo ni kuwa hiyo concept ya nikah mut'ah ilianza wakati wa mtume. Hakukuwa na mgawanyiko wa Ushiah na Usunni wakati huo. Kwa hiyo maelezo yako mazuri uliyoyatoa hapa yana maana moja:
Ama ndoa ya muda ni halali (kwa kuwa hakuna aya inayokataza) au ni haram (kama kuna aya inayokataza).
Na kwa kuwa Shiah hawaamini sana katika hadith bali aya za Qur'an tu basi nikah mut'ah bado ni halali.
Kuikataa ni kuikana Qur'an.
Naelewa sana kuhusu Sunni na Shia. Tatizo ni kuwa hiyo concept ya nikah mut'ah ilianza wakati wa mtume. Hakukuwa na mgawanyiko wa Ushiah na Usunni wakati huo. Kwa hiyo maelezo yako mazuri uliyoyatoa hapa yana maana moja:
Ama ndoa ya muda ni halali (kwa kuwa hakuna aya inayokataza) au ni haram (kama kuna aya inayokataza).
Na kwa kuwa Shiah hawaamini sana katika hadith bali aya za Qur'an tu basi nikah mut'ah bado ni halali.
Kuikataa ni kuikana Qur'an.
...sina nia ya kukashifu dini ya mtu au mtu binafsi ila naomba ufafanuzi. Zinaa inatafsiriwaje katika Uislamu? Kwa Mkristo kufanya ngono nje ya mahusiano ya ndoa ni ama uasherati (in case mmoja wa wahusika wa hicho kitendo hana ndoa) au uzinzi (kwa muhusika aliemo kwenye ndoa).
Nyie ndugu zetu Waislamu mnautafsiri vipi uzinzi?
Mkeo ni yupi?!ZINAA ktk uislam ni kuingiza utupu wako ktk utupu wa mwanamke ambae si mke wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ufafanuzi ulitaka autoe nani ndio uamini?!Hakuna aliepindisha
Labda uniambie
ni nani aliesema au kutoa ufafanuzi wa namna hiyo??
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji15]Hizo aya hazihusu wanawake wanaosagana Mkuu Mgen
Bali wanawake wanaotoka nje ya ndoa kwa kufanya tendo la Zinaa
Sent using Jamii Forums mobile app
ZINAA ktk uislam ni kuingiza utupu wako ktk utupu wa mwanamke ambae si mke wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwanamke ikitokea akawa ni mtumwa wako sio zinaa.
Akiwa Mtumwa kisheriaHuyo mwanamke ikitokea akawa ni mtumwa wako sio zinaa.
Akiwa Mtumwa kisheria
Huyo ni halali kwako kwa mujibu wa Dini yetu
una la kusema Mfiaukweli?!
Sent using Jamii Forums mobile app