masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Acha vituko sababu ya kubadilishwa jina ni kuwa baba wa mataifa au kupewa ruhusa na mkewe kumuingilia kijakazi? acha usungura hapaKumbe kwa Ibrahim kibali kimetoka kwa Mkewe sio Mungu [emoji4] ndio sababu Mungu alimkemea na kumbadilishia jina [emoji117] View attachment 1001127 [emoji4]
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Mbona aya ipo dhidi yako
Issa mwana wa Maryam,ni Mtume tu wa Mola wetu
wala si Mungu na wala hafanani na hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
STAY BLESSED and consider yourself ignored!Amen [emoji120] I stay blessed [emoji106] kwa taarifa tu Mimi sijakashifu deen ya MTU ila nanukuu kwenye Vitabu vya deen/Imani na kuuliza ima kujenga hoja bro! Hakuna haja ya kujaa povu ila tuvumiliane kiimani kama Mungu wangu Yesu alivyo agiza [emoji117] View attachment 1001075 licha ya nyinyi ndugu zetu katika Adam mnaposema [emoji117] View attachment 1001106. Hakuna Hata anaye wafunya [emoji106] Mimi katika kulingania deen/Imani Kigezo changu ñi Yesu tu [emoji106]
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Wap Yesu alisema yeye ni Mungu au alimiambia mumuabudu? mbona unamsemea Yesu wakati alifundisha na aliishi hapa dunianiYesu ni MUNGU KAMILI [emoji117] View attachment 1001139 na ni MWANADAMU KAMILI [emoji117] View attachment 1001145 UWEZO WA KUWA KIHIVYO MUNGU WANGU ANAO [emoji117] ATAKALO HUWA NA HANA MSHAURI [emoji123] [emoji106] sasa Mungu wako kama uwezo huo hana na ana washauri kwamba hili unaweza na hili huwezi sawa [emoji106] na hayanihusu, endelea kumsujudia mkuu ruksa [emoji106]
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Acha vituko sababu ya kubadilishwa jina ni kuwa baba wa mataifa au kupewa ruhusa na mkewe kumuingilia kijakazi? acha usungura hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] panya? Sasa Nawewe unaemuita mwenzako panya Allah atakupeleka wapi?Mshenzi wewe,nia yako ni kukashifu mjaa laana wewe.
uislamu una njia kuu mbili za mafundisho.
1.Qurani.
2.Hadithi(mwenendo/utaratibu/vitendo/maneno aliyosema Mtume Muhammad SAW).
Sasa wewe unaambiwa hiyo ni hadithi ya mtume wewe hutaki kukubali na unadai aya.
Wewe si muislami na huujui uislamu,unafundishwa na waislamu wenyewe unakataa,maana yake ni nini kama siyo kukashifu ?
Ulianza vizuri sana hapo mwanzo kwa kuuliza swali ambalo ni la msingi sana watu kufahamu na nadhani wengi walikuwa hawafahamu.
Unaquote aya fupi ili kuleta maana unayoitaka wewe.
Naomba Allah akulaani na akuingize motoni,
panya wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wap Yesu alisema yeye ni Mungu au alimiambia mumuabudu? mbona unamsemea Yesu wakati alifundisha na aliishi hapa duniani
Thanks bro [emoji120]STAY BLESSED and consider yourself ignored!
Hapo anamaanisha mafundisho anayoyatoa ni ujumbe tosha kuwa yeye ametoka kwa Mungu , wewe unaleta ujanja ujanja
Nimejiuliza na nimesoma kuwa hakuna mahali popote Mungu alimkemea Ibrahim kuzaa na mjakazi, tena kuonyesha mapenzi na mtoto yule jina likatoka kwa malaika wa bwana , hoja yako ni DHAIFU sanaJiulize hadi Mungu Anamwambia uende mbele yangu ukawe Mkamilifu [emoji53] jee ni ukamilifu badala ya kumuomba Mungu Akupe mtoto unasikiliza ushauri wa mkeo [emoji350] baada ya Toba Ndipo Mungu Akambadilisha jina na kumfadhiria kwa Baraka [emoji106]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo lisingekuwepo sababu,hilo ni kwa ajili ya waumini wa kike ambao hawana mume,na hili liliwahi kumtokea myume alifatwa na mwanamke ambae hana mume,na kumuelezea shida yake,lakini mtume hakuvutiwa nae akaolewa na muumini mwingine.
Kwahiyo hata kama ukiwa unanukuu tarjama za Qur'aan uwe unaelewa kidogo au kufikiria,sababu kukurupuka kwako kuna kufanya uzidi kukosea na hujawahi kuipatia aya hata moja kimaana.
Tuliza kichwa,hiki kina kirefu lazima ufe humo.
wengine wanadanu na wengine sio binadamu [emoji15]Vijakazi ( watumwa ) ndio walioruhusiwa nani kakwambia kila kijakazi ni mtumwa? rudi uulize swali upya wacha kukurupuka
Kama alivyoamua kukufanya wewe mrugulu , na sio muhindi, ata hapo aliamua mateka wa kivita ndio iwe halali tu
Kama hajaivunja weka zina ilipo Ruhusiwa na Mungu [emoji120]Ndio amri aliovunja selemani?
Mbona Mwaka huu mtamu THAWAB kwa wingiii...[emoji123] [emoji106]Nimeanza kukufata wewe bila shaka, mwaka huu utauona mchungu
Kweli wanafunguka ndio maana ata Mungu wenu mmechora kavaa kikaptula mara kavishwa nepi hatari tupuuu
Hiyo aya mbona iko sawa, sasa kama picha zinafungua watu si ni kweli kuna picha kibao za Yesu akiwa kavaa kikaptula au vinguo vya watoto, nyingine kavaa sijui ni taulo pale msalabani, hizi picha ajachora muislamu hivyo , kwa vile mmechora wenyewe maana yake mnazipenda, mimi nimekukumbusha unachopenda kuona na kuchorakakufundisha nani ulicho ANDIKA [emoji350] Hata muhammad aliwaagiza WAUMINI wake [emoji117] View attachment 1001201 au wewe huhusiki [emoji350]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema wenyewe maji utaita mma
Ni kweli kabisaaaaaaa kama ambavyo hili neno lake halijapita, ila ni uroho wako tu
WALAWI 11:7-8
7",Na nguruwe , kwa sababu yeye anazo kwato, ni Mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui , yeye ni najisi kwenu,
8"; Msiile nyama yao,wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu";
au hili neno la nguruwe limepita ndugu? hili litakua limepita maana unakula sana nguruwe wewe
Mungu kampa mwenyewe hao wanawake , halafu mimi niweke aya zinaa !! mimi sio mshenga Mungu kampa mja wake selemani afaidi mazuri ya dunia , zinaa umesema wewe usiejua maandiko