Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,624
Sasa kama aliyeruhusu hayo yote ni Allah ambaye anafuatwa na waislamu.tatizo lako liko wapi?Aliye ruhusu kuwaingilia wake zako ni ALLAH na aliyerusu kuwaingilia UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI allahhapo KUNA HOJA KWA WAUMINI WA ALLAH ILAHA KWA WAUMINI WA allah yote ruksa
Sent using Jamii Forums mobile app
Waraka wa Mtume Paulo kupitia Wakolasi 3:22-25 huu hapa😛aulo huyo ambae alikuwepo wakati wa Yesu anawaambia Watumwa wawatitii mabwana zao KATIKA MAMBO YOTE!
Wewe nimekwambia mpaka kitabu si usome mbona unapaniki hovyo hivi?
Hawa ni vijakazi wanaopatikana baada ya vita , hakuna zinaa kwenye hilo , labda utuambie Yakobo kwa kuzaa na vijakazi wake nae kavunja amri ya ngap?Tatizo mnavunja Amri ya.7 ya Muumba wako Lat qarab zinaaView attachment 1000960
Sent using Jamii Forums mobile app
According to?! Ama kweli we jamaa unapumua uongo!! Hivi kweli ni Mkristo wewe?Sasa kubali tu kuwa kilichoongelewa hapa kuhusu zinaa katika uislamu ni sahihi 110%.
Ajawai kusahau anaamua mwenyewe bila shuruti la mtu yeyote
Unatakiwa useme kuwa selemani kavunja amri ya ngap?Unaongeza idadi ya wahalifuhalafu weka Ushahidi humu selemani ni kigezo chako
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
According to?! Ama kweli we jamaa unapumua uongo!! Hivi kweli ni Mkristo wewe?
Ebu usitujazie mapicha kama hauna cha kuzungumza kaa pembeni, hakuna andiko wala kitabu kilichokuja na mapicha yako ya ovyo hayoNguruwe mbona ruksaView attachment 1000946View attachment 1000949 ukiniwekea katazo Mimi mgen nisile NYAMA ya nguruwe Mimi nitaretardi na kuwa mchawi
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Huyo mgeni badala ya kuleta hoja analeta mapicha , halafu atulii sehemu mojaChiefs
Mfiakweli,Mgen na Luten
Tunaomba tuwe na ustaarabu wa kushika jambo moja mpaka mwisho
kisha
tuje jambo la Pili
MADA ILIYOPO MEZANI
ni ndoa ya MUT-AA
Chief Mfiakweli,amekubali kumalizika kishingo upande
sasa sijui amekuja na mada gani?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mgeni badala ya kuleta hoja analeta mapicha , halafu atulii sehemu moja
Hawa ni vijakazi wanaopatikana baada ya vita , hakuna zinaa kwenye hilo , labda utuambie Yakobo kwa kuzaa na vijakazi wake nae kavunja amri ya ngap?
According to?! Ama kweli we jamaa unapumua uongo!! Hivi kweli ni Mkristo wewe?
Hao waongo sana hiyo dini ingekuwa ya mungu yesu mtoto wa mungu, mke wa mungu baba yaka na mungu, mjomba wake na mungu na ukoo mzima wa mungu wangekuwemoYa Mtume.
Haiezekan islam iwe dini ya Mungu halafu Yesu mtoto wa Mungu asiwe kwenye dini hiyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
According to your own books. Nauliza tena, wapi nimeandika UONGO???
Leta jina la kitabu na namba ya hadithi , mbona rahisi tu