Zinaa katika uislamu....

Kumbe mzito kuelewa hadi utafuniwe
Maamrisho Ya MWENYEZI MUNGU YAKO WAZI "USIZINI" KUWAINGILIA UNAOWAMILIKI MKONO WA KUUME BILA KUOA UNAZINI
HIVYO BASI WAISILAMU WANAFUATA MATAMANIO YAO
Dhahir eeh


Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]wale tunaowamiliki kwa mikono yetu ya kuume

Huyu alietupa ruhusa hii
Ni Mola mmoja tu,ambae hajazaa wala kuzaliwa,na hana mfano wa chochote

Sasa tatizo lako liko wapi?!

Ruhusa imetoka kwa sharti
sasa wataka tusitumie ruhusa tuliyopewa na Mola wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifupi hata Uislam ni hivyo hivyo kua zikikutana tupu (nyuchi) mbili za ambao hawajaoana ni Zinaa, ila sasa Uislam umeenda mbali zaidi kua,
1) Sio lazima zikutane nyuchi tu, hata ukiangalia video ya ngono umezini,
2) ukimuangalia na kumtamani asie mke/mme wako umezini
3) Pale juu umetaja binadamu tu, kiislam hata ukimuingilia au kuingiliwa na kiumbe asie binadamu umezini,
4) Ukitembea "Uchi" umezini pia, Hapa Neno "Uchi" lina mipaka yake between HE na SHE, ni topic ingine,
5) Umewaza uende kona Bar au sehemu kama hizo ukanunue "mzigo" hapo ushazini tayari iwe umeenda au hujaenda, au umeenda umepata au hujapata
6) .......nk
 
Niziwache ni lahaja ya wapi mkuu, nashindwa kufuatilia comment sababu ya kiswahiliii kibovu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unaweza kuweka ushahidi kuthibitisha ulichokiandika hapa? Kama ni kuandika kwa hisia au sentiment then hata na mimi naweza. Kwa mfano naweza kusema unalalamika hivi kwa kuwa wewe ni product ya mut'ah na kwa maana hiyo umeguswa personally; BUT AM NOT THAT IRRESPONSIBLE.

Kitu chochote ambacho ni academic lazima kiwe na references. Hakuna mahali nilipo-claim devine right or authority on this or any matter for that, sasa ni wajibu wako - hata kama haupo interested kunijibu directly lakini kwa faida ya wengine- kuja na references kuthibitisha otherwise.

Why can't you people see issues reasonably without being judgemental?
 
Hiyo ni elimu nyingine kabisa ya kukaa kitako ukafundishwa. Kwanza kajifunze ilikuwaje mungu akawaachia wahuni wamsulubu mwanawe hali akiona

Sent using Jamii Forums mobile app

Una uhakika kuwa siyajui hayo uliyoniambia nikajifunze? Ninajua ni kwa nini Bwana wetu Yesu aliteswa na kufa msalabani ila sielewi hiki kitu;
Kwa mujibu wa Qur'an Surat An-Nisa 4 verse 157, Allah alimuokoa Issah asisulubiwe lakini Allah huyo huyo akamuacha mtume wake Mohammed alishwe sumu iliyowekwa kwenye nyama ya mbuzi (au ni kondoo kwa mujibu wa maandiko mengine) Sahih al-Bukhari, Volume 3, Book 47, Number 786)?

Waweza kunifundisha hilo?
 
Nada nwengine mpya hii kaka
 
Uislam umeruhusu mpaka wake wanne, je ukiamua kuoa mmoja tu unakua unapingana nao? Kuna vitu kuvifuata au kuacha ni hiari yako tu,
malizia ayat ukishindwa kuoa mmoja basi fanya basi uwaingilie wale UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME={vibubu)

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Ndipo nikauliza wake zako ruksa kuwaingilia
jee hawa UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI WAKE ZAKO
mbona hamnijibu walimu


Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 

Aliwahi hukumia kwa nafsi yake . Kama kuharamisha kilicho halali kwa kutafuta radhi ya wake zake. Kwanini unasema uongo?
 
Jambo la pili

Ndoa ya Mut-aa,ni baina ya mwanaume na mwanamke
wao wawili tu
Bila Muozeshaji(Walii) wala Mashahidi

Na Mola,ametutaka tuwaoe wanawake kwa Idhni ya Baba zao(Walii)

Sent using Jamii Forums mobile app

Inatofauti gani na kuchukua kahaba kwa makubaliano yenu wawili? Kwahiyo ndoa ya mutah ni halali kwa waislamu hii inamaana kwamba kumbe makahaba wale wanafunga ndoa za mutah na ni halali kwa mujibu ya uislamu?
 
Acha kujitoa ufahamu Chief

ndio makusudio yangu kuhalalisha ndoa hiyo au una mengine tu?!
Inatofauti gani na kuchukua kahaba kwa makubaliano yenu wawili? Kwahiyo ndoa ya mutah ni halali kwa waislamu hii inamaana kwamba kumbe makahaba wale wanafunga ndoa za mutah na ni halali kwa mujibu ya uislamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
labda unipe sehemu niliyomaanisha uhalali Chief?!
Inatofauti gani na kuchukua kahaba kwa makubaliano yenu wawili? Kwahiyo ndoa ya mutah ni halali kwa waislamu hii inamaana kwamba kumbe makahaba wale wanafunga ndoa za mutah na ni halali kwa mujibu ya uislamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…