Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,494
- 21,453
My dear mimi hua sibishanii mambo ya dini lakini kama nikiona mtu kauliza jambo na lipo ndani ya elimu yangu basi namuelewesha bila choyo, sasa ikija ligi na mabishano na kashfa na tambo nyingi hua najiweka pembeni.Culture gal (na Waislamu wengine); Allah is ALL KNOWING, right? Alishusha aya kupitia Mohammed? right?
Sasa ni kwa nini hakujua tangu awali kuwa ANARUHUSU KITU (MUT'AH) ili baadae kiharibu jamii eventually kipigwe marufuku kwa maelekezo ya mtume lakini tawi jingine la uislamu liikumbatie aya hiyo hiyo?
Can someone please tell me how this is possible? Naomba mnielekeze tafadhali
Ni aya ipi inayoruhusu ndoa ya muta'a?Kuna aya inayokataza au wewe umeamua kuikataa? Na kama hakuna aya huoni kuwa unakiuka ulichoamrishwa?
Why should I listen irrelevant material isiyojibu swali langu wakati swali ambalo nimekuuliza ni straight forward na hadi sasa umeshindwa kujibu?!Hicho unachokiita "irrelevant" ndio precisely kinachokujibu. AND YOU KNOW IT.
Btw; umesikiliza hiyo clip?
We jamaa POPOMA kweli ushaambuwa iliruhusiwa katka certain circumstance ( Masahaba wakiwa vitani) baada ya hapo ikawa haifanyi kazi tena unashindwa kuelewa wapiCulture gal (na Waislamu wengine); Allah is ALL KNOWING, right? Alishusha aya kupitia Mohammed? right?
Sasa ni kwa nini hakujua tangu awali kuwa ANARUHUSU KITU (MUT'AH) ili baadae kiharibu jamii eventually kipigwe marufuku kwa maelekezo ya mtume lakini tawi jingine la uislamu liikumbatie aya hiyo hiyo?
Can someone please tell me how this is possible? Naomba mnielekeze tafadhali
Hatakujibu hilo swali ima fahima, sana sana atakimbilia Google kuokoteza mijadala ya wengine na kukuletea na kukuambia "...hiyo hapo, soma!" Aaaaaargh... huyu jamaa sijui wa wapi huyu!
We jamaa POPOMA kweli ushaambuwa iliruhusiwa katka certain circumstance ( Masahaba wakiwa vitani) baada ya hapo ikawa haifanyi kazi tena unashindwa kuelewa wapi
Why should I listen irrelevant material isiyojibu swali langu wakati swali ambalo nimekuuliza ni straight forward na hadi sasa umeshindwa kujibu?!
Ngoja nikuambie jambo moja manake all this time nilikuwa nakufanyia staha tu... keep it in mind, and trust me, wewe jamaa ni mweupe!!
Kumbuka kila nilipolazimika kutoa reference kwako, nilikuwekea ama Aya ya Kuran au Bible ambayo ni relevant to the subject!
Kinyume chake, wewe umeokota mstari somewhere na kudai hiyo ni Quran 4:24 lakini nilivyokuambia weka FULL VERSE ya hiyo 4:24 yenye hayo maneno yako; UMESHINDWA KUFANYA HIVYO hadi sasa!! Umeshindwa kwa sababu upo hapa kukashifu Uislamu na umejiandaa kufanya hivyo hata kwa kutumia Uongo wa dhahiri!!
Na endapo nakusingizia, basi weka hapa hiyo aya ambayo nimekuomba muda mrefu sana!
Kwa maajabu ya Mussa, wakati nimekutaka uweke Aya kamili ambayo uliandika wewe mwenyewe; ukakimbilia Google na kurudi na 23:5-6 tofauti na nilichokuuliza!!
Hata hivyo, sikufanya hiyana! Nikatolea maelezo your irrelevant post na kwa mara nyingine nikakukumbusha kuhusu Quran 4:24... na bado hadi sasa unakwepa kujibu kwa sababu unafahamu UMEDANGANYA!
Kiroja zaidi ni pale unaposhupaa na 23:5-6 ambayo hata hivyo sikuuliza halafu bila aibu unadai ni article iliyochambuliwa na Mwanazuoni wa Kiislamu!
Ngoja nikuulize: Ni article iliyochambuliwa na Mwanazuoni wa Kiislamu au wamesema ni article iliyochambuliwa na Mwanazuoni wa Kiislamu? Can you trace the difference?!
That's one but two, hata kama ni Mwanazuoni wa Kiislamu, did you do your homework kufahamu ni wa mlengo?!
Am so asking cuz', as far as I know, watu wengi including Abuu Dharr na culture gal wamekuambia since Day 1 kwamba ni Shia ndio wanapigia upatu hilo suala!! Ulishajishughulisha kufahamu huyo unayesema ni Mwanazuoni wa Kiislamu yupo mlengo upi?!
Kiroja zaidi ni pale unapoleta mada kuhusu Mut'ah marriage halafu unadhani umetoa point kupitia 23:5-6 ambayo inazungumzia suala la Watumwa na Vijakazi!!
Again, badala ya nisikilize irrelevant video, jibu kwanza swali langu la awali na kama huna jibu; kiri hapa kwamba ulikuwa unasema uongo!
Hatakujibu hilo swali ima fahima, sana sana atakimbilia Google kuokoteza mijadala ya wengine na kukuletea na kukuambia "...hiyo hapo, soma!" Aaaaaargh... huyu jamaa sijui wa wapi huyu!
Mkuu unaonaje tukaachana na huyu bwana kwa kuwa tu lengo sio ambalo lilidhihiri katika post yake?
Me naomba tumuache kwa sababu huo ukweli anaoutaka kaufikishe,tutaumia kichwa bure mkuu
Ina maana the "ALL KNOWING ALLAH" hakuweza ku-foresee kitakachotokea in the future? Mbona sasa Allah asiwe specific kuwa mut'ah inaruhusiwa tu kwa wanaume walioko vitani?
Ninaposhindwa kuelewa ni huu mkanganyiko uliopo sasa (inakubalika kwa Mashiah lakini si kwa Masunni) lakini mtume aliporuhusu hakukuwa na Shiah wala Sunni!
Kwani kuna shida gani kusoma au kusikiliza vitu toka Google baadae ukatoa uthibitisho wa uongo wa kilichomo humo?
Jibu kwanza swali nililokuuliza! Ni irrelevant kwa sababu swali langu halihitaji kujibiwa na video!Ama! Hujasikiliza clip LAKINI TAYARI UMESHAJUA NI IRRELEVANT??!!
Shida yako ni moja una kariri sana kuliko kuelewa, ni sawa na YEHOVA kukataza kula kitimoto ktk agano la kale na kuruhusu Agano jipya (acc to christian) ikiwa anajua mwanzo ilikuwa haram...vise versa... Kwa mutaah mwanzo ilikuwa halali ila sasa haram but issue ya Shia and Sunni inabaki ktk interpretation of scripture though quran & Sunnah ishakataa mutaah kuendeleaIna maana the "ALL KNOWING ALLAH" hakuweza ku-foresee kitakachotokea in the future? Mbona sasa Allah asiwe specific kuwa mut'ah inaruhusiwa tu kwa wanaume walioko vitani?
Ninaposhindwa kuelewa ni huu mkanganyiko uliopo sasa (inakubalika kwa Mashiah lakini si kwa Masunni) lakini mtume aliporuhusu hakukuwa na Shiah wala Sunni!
Tatizo ni pale unapozama Google na kurejea na irrelevant material! Again, swali langu linaomba Quran 4:24 that contains the following text:Kwani kuna shida gani kusoma au kusikiliza vitu toka Google baadae ukatoa uthibitisho wa uongo wa kilichomo humo?
Acha kurukaruka! Google kadri uwezavyo, and if possible, you can access even Dark Web but mwisho wa yote urejee na full verse of Quran 24:4 that includes your above text! Kinyume na hayo itakuwa umeenda kukusanya irrelevant materials ambazo hazijibu swali!Hii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).
Hyo ndoa ya mutaa ipo kwa shia mpska leo wanaitumia,kwa upande wangu mimi kwa sasa haifai ksbisa kwa sababu yamekuja mskstazo kukataza jambo hilo.
Lakini mwanzo iliruhusiwa baada ya masahaba kwenda vitani wakakaa mda mwingi huko mpaks wakataka wajitoe nguvu za kiume(wajihasi)ili wasishughulishe na matamanio,mtume akaona hapo watafikia kubaya ndo akaruhusu hiyo ndoa kwa wakati alafu baada ya hapo hakuiruhusu kwa sababu ilikuwa dharula na hali ilifkia hivyo.
Kwa wakti huu wapo wanaokubali ila kwa upande wetu wengi hatuikubali hiyo ndoa.
Lakini hiyo mutaa bado wahusika wanakuwa ndani ya ndoa ila shida yake ni huo mkataba ndiyo shida ilipo
Sasaiv ni kufunga tu mkuu.ilishakatazwaUislamu wakati mwingine naukubali hakuna unafiki, uko mbali muda mrefu na mkeo kuliko kuzini funga ndoa ya muda mambo yaende kuliko kujifanya mtakatifu huku una mizigo kibao unakula nje
Sent using Jamii Forums mobile app
Uislamu wakati mwingine naukubali hakuna unafiki, uko mbali muda mrefu na mkeo kuliko kuzini funga ndoa ya muda mambo yaende kuliko kujifanya mtakatifu huku una mizigo kibao unakula nje
Sent using Jamii Forums mobile app
Alijua tuu kwan kila mwaka kutakua na vita? yaan kama kitimoto tuu...afu Allah hakutaka tupate taabu alijali sana sisi wanaume wa kiislam kuhakikisha tuna kua satisfied huoni nyie mnavobaka na kulana mnaruhusu hadi ugay?Culture gal (na Waislamu wengine); Allah is ALL KNOWING, right? Alishusha aya kupitia Mohammed? right?
Sasa ni kwa nini hakujua tangu awali kuwa ANARUHUSU KITU (MUT'AH) ili baadae kiharibu jamii eventually kipigwe marufuku kwa maelekezo ya mtume lakini tawi jingine la uislamu liikumbatie aya hiyo hiyo?
Can someone please tell me how this is possible? Naomba mnielekeze tafadhali