Zinaa huleta ufukara

Kwa mabaharia bajeti IPO chini zaidi!
Location ghetto kwahiyo hakuna hiyo 20000tsh ya best
Nauli 2000tsh
Msosi buku 3000tsh
Posho hakuna
Kwahiyo hapo kuna save ya 62000tsh
 
Daa acha kabisa tatizo genye zikipanda hazina m' babe hapa napiga mahesabu ya kutoroka ofisini nikadinye kwanza akili ikae sawa. Dem mwenyewe nimemzungusha sana ngoja nikampe haki yake.
 
Ndugu upo dunia gani mkuu? Siku hizi Mambo ni vice versa
Niko malinyi huku hakuna iyo kitu kwa wanaume tena, ntashangaa kuniambia men nae anahongwa sababu mi hata tabasamu lako linatosha kuwa ushawishi sembuse fweza
 
Unakuta mtu kafanya kazi nzito ya zege pesa anazifungia kwenye zip!! Ni uuuungwana??
 
Ukweli . Tatizo la zinaa linaenda mihemuko ya mwili. Ukiweza kuikontrol hali hiyo utaiepuka zinaa. Lakini kama huwezi kuutawala mwili utaingia mkenge tu. Kwani hao kina dada nao wana mitego yao.
 
Kwahiyo unatushauri tuwe tunatumia kiasi gani kwa mwanamke mmoja? Na je tuwe tunaishia wanawake wangapi ili kulinda kipato chetu...
 
Kuna watu zinaa kwao ni kama wanakula wali, lakini wana Pesa hatari
 
Mkuu eti posho ya mchepuko 20,000/=!
Danga hukupimia ulivyoshoboka.

Akikuona presha yako ipo juu, mkiingia 'gest' atakutwanga na swali simple lakini ni la direct: 'mzee mbona unaongea sana, kwanza umeniandalia kiasi hani?'

Wewe mwenyewe huku ukijichekeleza unaingia mnadani kujipangia bei.

Ukisema: 'me nna 20', atakwambia: 'ishirini hela gani ya nyanya hiyo?'

Mamamamama! Kaua, ndiyo hapo utaanza kujifirisi mwenyewe huku ukitetemeka kwa uchu kama wa mbwa aonapo nyama.

Labda hela hiyo usiwe nayo mfukoni kweli, lakini kama unayo na umeificha, utafichua huku udenda wa tamaa ya uasherati ukikuchuruzika kama maji ya bomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…