Behind the camera
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 315
- 757
Ulisha acha kuwatia watu ufukara? Kama ni hivyo njoo pm maana hakutakuwa na gharama za kukusafirisha πMi nilisha acha
Ulitumia mbinu gani kuacha?Mi nilisha acha
Zinaa huleta uufukara
Nimeamini.....
Hili suala tunalichukulia powa lakini ndugu zanguni swala la zinaa ni janga kubwa Sana linalochangia kuleta umaskini Sana.
Hebu mfano tu.
nauli ya demu 5,000/= au zaidi.
Gesti 20,000/" au zaidi
Kondom pakti mbili 2,000/=
Posho ya demu 20,000/=
Vyakula na vinywaji kidogo 20,000/=
Jumla hapo ni elfu 67,000/=.... Sasa Kwa gharama hizo piga mara mademu 20 au nakuendelea.
Jamani.
TUACHE ZINAA.
Yaani baada ya pale unajuta aisee.halafu ile raha ya dkk 2 ni tamu kuliko pesa uliotoa
HongeraMi nilisha acha
Kondom jenauli 1,000.
chakula chips kavu 1500.
Gest Kwa rafiki.
Posho ya demu 5000.
Jumla 7,500.
gharama zingine za kujitakia.
Zinaa huleta uufukara
Nimeamini.....
Hili suala tunalichukulia powa lakini ndugu zanguni swala la zinaa ni janga kubwa Sana linalochangia kuleta umaskini Sana.
Hebu mfano tu.
nauli ya demu 5,000/= au zaidi.
Gesti 20,000/" au zaidi
Kondom pakti mbili 2,000/=
Posho ya demu 20,000/=
Vyakula na vinywaji kidogo 20,000/=
Jumla hapo ni elfu 67,000/=.... Sasa Kwa gharama hizo piga mara mademu 20 au nakuendelea.
Jamani.
TUACHE ZINAA.
π π π π π π πUlisha acha kuwatia watu ufukara? Kama ni hivyo njoo pm maana hakutakuwa na gharama za kukusafirisha π
ππππππ aiseehalafu ile raha ya dkk 2 ni tamu kuliko pesa uliotoa
Kweli kabisa bwana LIQUIDPia huleta nuksi. Zinaa imelaaniwa.