Zina wateja wa kumwaga

Zina wateja wa kumwaga

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1413073398649.jpg
 
vizuri wakavumbua " drying agent " maana wengi hawajulikani ni kiangazi au masika ni full mtera
 
....mamaaa watu wataibiwa kinoma...
 
Bikira sio issue tena siku hz, ilikuwa miaka hiyo. Hapo ni kansa tupu kama zimeingia TZ TBS wamekula rushwa.
Kasinde nitafute leo nikupongeze binafsi na pokea like hapahapa
 
Last edited by a moderator:
unaweza ukawa vigin tena lakini ndani ni sawa na baloon lililopulizwa mpaka mwisho
 
unaweza ukawa vigin tena lakini ndani ni sawa na baloon lililopulizwa mpaka mwisho

Wengi wanadhani wakiwa nayo ndo basi, mapenzi ni taasisi moja kubwa sana yenye mengi ndani yake mabaya na mema, ya kufurahisha na yenye kuleta huzuni mno
 
Back
Top Bottom