'Zimwi la kugombea Urais CHADEMA'!

Nyundo Kavu

Senior Member
Dec 6, 2011
186
85
[h=6]Zitto Kabwe
[/h][h=6]Ona Watanzania na baadhi ya vyombo vya habari. CHADEMA imepata msiba mkubwa, imefiwa na Mwanachama, Mbunge, Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Kivuli wa Kazi na Ajira. Lakini Gazeti la Majira linabeba habari ya kwanza 'Zimwi la kugombea Urais CHADEMA'! Hata staha ya msiba watu wanakosa. Nimeshangazwa sana na gazeti la Majira kuumbua zimwi lisilokuwepo. Sigombei Urais 2015. Nitamwunga mkono mgombea wa CHADEMA[/h]

https://www.facebook.com/zittokabwe
 
Hiyo ndiyo kauli thabiti ya kiongozi thabiti.Majira wanatumiwa na CCM kupandikiza Chadema upuuzi ambao haupo.Zitto amewaumbua sasa watafute njia nyingine.
 
wawaige mtanzania na rai,baada ya kuona hawauzi wamerudi upande wa umma,majira watapotea soon.r.i.p regia.
 
Tangu Mwananchi watoe habari za namna hiyo nilijua kuwa kuna Waandishi wanatumiwa na wagombea urais wa CCM kuleta minyukano CDM ili kupunguza nguvu ya CDM. Naamini habari hizo zitaandikwa tena kutoka gazeti moja hadi nyingine.
 
yani kuna watu ni wavivu wa kufikiri basi, hata puu huwa zinafikiria.. Very shame on them.

RIP RMtema.
 
2po msibani tunaomboleza, magazeti tunasoma yenye habari a msiba na zaidi yaliyoandika fikra na mitazamo ya mpiganaji wa watu Regia Mtema..kalaleni majira..Zittto ongea toka moyoni maana nakumbuka maneno yako kwa wapiga kura wako wakati ulipoenda kupomba kura za ubunge.
 
Roho mbaya inawasumbua hili gazeti na kwa mara ya kwanza nimpongeze Zitto kwa kuthibitisha kua hatogombea Urais 2015 bali atamuunga mkono mgombea wa CDM
 
Natoa wito wanaChadema wote kususia gazeti hili la Majira-CCM lisilo na chembe ya ubinadamu kwa kifo cha mwenzetu.
 
Tangu Mwananchi watoe habari za namna hiyo nilijua kuwa kuna Waandishi wanatumiwa na wagombea urais wa CCM kuleta minyukano CDM ili kupunguza nguvu ya CDM. Naamini habari hizo zitaandikwa tena kutoka gazeti moja hadi nyingine.

Hawa wachekelea msiba wanamzungumzia zitto huku wakijua fika wakati wa uchaguzi atakuwa na miaka 39
 
wawaige mtanzania na rai,baada ya kuona hawauzi wamerudi upande wa umma,majira watapotea soon.r.i.p regia.

Natoa wito wanaChadema wote kususia gazeti hili la Majira-CCM lisilo na chembe ya ubinadamu kwa kifo cha mwenzetu.
 
Umaskini wa mawazo ni kansa inayowasumbua wahariri wengi na njaa ya kuhudumia tumbo kwa gharama yoyote ndo itakayowafanya waonekane majuha
 
Roho mbaya inawasumbua hili gazeti na kwa mara ya kwanza nimpongeze Zitto kwa kuthibitisha kua hatogombea Urais 2015 bali atamuunga mkono mgombea wa CDM

Natoa wito wanaChadema wote kususia gazeti hili la Majira-CCM lisilo na chembe ya ubinadamu kwa kifo cha mwenzetu.
 
"Mbowe for Presidency 2015 usikubali Rais aliyewahi kuwa Padre na katibu wa TEC""
Hii signature yako unamaanisha nini?Dr Slaa anawanyima usingizi eeh?Hamuwezi kuwagombanisha Mbowe na Dr Slaa hata mfanyaje!halafu kwa taarifa yenu wanajua mipango yenu yote .....

Nimependa sana namna alivyomjibu......kuna juhudi za dhati za kuwagombanisha ...slaw,mbowe,na Zitto naomba waendelee kushikamana wakati huu na wakati wote kumuenzi mheshimiwa Regia....

Mmeonanbaadhi ya magazeti Leo Kama majira...watu wapo msibani wao habari walioipa umuhimu ni mbio za urais Chadema mmwaka 2015....na kuweka hoja ya kufikirika ya slaw,mbowe na Zitto.....kukinzana,,....
 
Back
Top Bottom