Zimebaki Siku chache aidha Watumishi wafurahi au wanune

Wasalam mabibi na mababu,

Hatimae siku hazigandi bhana ile mbivu na mbichi kujulikana soon, na ukwel usiopingika kuwa kwa sasa watumishi wa serikali wana shauku sn ya kuona mabadiliko ya mshahara wa mwezi July kutokana na kile kiloitwa kuongezwa kimya kimya, huku wengine wakiamini kutakuwa na nyongeza+increment.

Pamoja na yote lkn lipo kundi lingine ambalo limeshakata tamaa na wana imani ndogo San kuwa hakutakua na nyongeza ya maana huku wakifananisha na namna nyongeza ya 23% ilivyofanyika mwaka jana...

Yote kwa yote yetu macho kuangalia itakuwa n nyongeza yenye kuleta furaha au nyongeza ya kuzidisha stress!!!

TAFAKURI: Mama kwa namna anavyochezea spana sasa hv kuhusu Dp world ni hakika hana mtetezi na wa kumpamba isipokuwa amebakisha kundi moja tu nalo n la watumishi, sasa je watumishi akiwatia stress kwa nyongeza isiyo na tija huyu Mama atatetewa na nan! Nan ataemsifia na kumpamba! Mana hadi wananchi wa Hali ya chini wasiojua mambo wanachukizwa sasa na hyo Dp world...
Tutajua muda si mrefu
 
Watumishi tz nzima wapo ka laki 5 ivi ss hawa wana impact gani kwenye nchi yenye watu milion 60 na weng wao n waalimu ambao maisha yao n choka mbaya kwa wengi wao so sion impact yyte kwa mtu anaetegemea laki 5 au 6 kwa mwezi watumishi wote n wapumbavu tu labdawale ambao wapo kwenye mashirika ya umma ila sio hawa wa tamisemi pumbav zao maskin sn huwez kaa mwaka mzima unasubiria nyongeza ya elfu 9
Umasikini wa kifikra kabisa huu, Shenz
 
Back
Top Bottom