Zimebaki siku 10 za Israel kuishambulia Iran

Ndugu Zangu Tuchape Kazi ​

Vita Ya Uchumi Ni Mbaya Sana Ndugu Zangu
 
Hawa jamaa walitangaza siku 60 tu za kuishambulia

Tumehesabu leo ni siku ya 50 bado siku kumi tu

Na wanasema maana walidai ndani ya siku 60 iran atakua na bomu kamili

Sasa na Iran alivyo kichaa akaongeza kurutubisha mpaka 80% huko if am not mistaken kama nimekosea percentage mnambie

Tukasema safari hii bwana naftali bennet anaenda kufanya yake....Yeye na Rais wa Iran wote ni manationalist tukasema moto unaenda kuwaka maana wote ni vichaa wana misimamo mikali balaa

Lakini wapi leo ni siku ya 50 zimebaki siku 10

Israel amekua kama jibwa liso meno...Si unajua tena kibogoyo asomeno akiona andazi likielekea kuliwa na mtesi wake mate tu humtoka maana meno hana

Israel ni waoga kishenzi, mnyonge wao ni Hamas tu lakini vita haiwezi mzayuni huyu muulize hao Hezbollah anowafunga kama wafugavo mapaka nunda au mapaka ya bwawani kila kukicha inahusonanini?

Ukweli ni kuwa israel hana ubavu wala uanaume wa kumtikisa Iran...Hapo angekua iran ndo anatoa vitisho angekua ashakwiwasha mda tu na story hadi tushazisahau

Vita si lelemama hata kidogo mziki wa iran ni mzito hebu hao anti- iran (wenye chuki na iran humu au mashangazi kambo wa iran[emoji1787] fanyeni adidu rejeo mkaisome ramani ya Iran japo mgoogle uwezo wa kijeshi la kiajemi

Wale sio waarabu sheikh, shekhee wale sio wala tende, sheikh ile damu nyengine kabisa wapo tofaut kabisa na waarabu hata style ya maisha, usomi, na kiakili wapo mbali sana

Huwa nawaona mapunguwani wa akili hamnazo mnaosema na kwa dhikri kwamba waajemi ni waarabu yaani nikiona mtu anasema hivi huwa namdevalue kabisa hana tofauti na yule alosema sadam hussein alikua rais wa Libya

Wanaweza chezeana wenyewe kwa wenyewe huko kwenye majukwaa tel aviv lakini sio kwenda Tehran labda hawajipendi yaani ukajitumbukize kwenye shimo la moto mkali huku ukijidanganya umejifunga vifuko vya maji ya baridi kama vifuko vile vya sukari ujaze maji ujitie humo useme hutoungua! vita na iran sio lelemama hakuna ambaye atakua hajipendi eti akashambulie dola kubwa kama iran litampata lilompata kumbakumba akiambambaa

#Mtajuwahamujuwi
View attachment 1981124View attachment 1981125

Umeandika kishabiki sana tena ni kama unauchungu mwingi shekhe
 
Bado siku 9, that means mpaka tarehe 30 mwezi huu watawashambulia. Sasa nakuambia mimi nakupa hadi tarehe 1 mwezi wa 11, Israel Hana ubavu wa kupigana na Iran. Ikifika tarehe moja nitakuja hapa kukukumbusha uniambie imekuaje. Israel ni watoto wadogo san kwa Iran
 
Zkiisha hizo siku kumi usiache kutuletea tena chochote kile mkuu
 
Hawa Watu Walishamaliza Kazi ya Iran mapema Sana Bila kutumia Nguvu kubwa...!!!! Meir Dagan, Tamir Pardo, Efraim Havel, na Sasa David Barnea... Hata Muajemi mwenyewe anajua hawezi kufurukita mbele ya Mzayuni...!!!
 
Kama Walishindwa kuiangusha Sylia basi hawataweza kwa Iran kwa sababu vile vijamaa vinapambania teknolojia bila ya msaada wa magharibi
Vimeweza kupata teknilojia ya juu huku vo
vikiwa na vikwazo vya magharibi..
Islael imepata teknolojia kwa msaada wa USA.
 
Bado siku 9, that means mpaka tarehe 30 mwezi huu watawashambulia. Sasa nakuambia mimi nakupa hadi tarehe 1 mwezi wa 11, Israel Hana ubavu wa kupigana na Iran. Ikifika tarehe moja nitakuja hapa kukukumbusha uniambie imekuaje. Israel ni watoto wadogo san kwa Iran
November nitakuja kukuchungulia tena
 
Hawa Watu Walishamaliza Kazi ya Iran mapema Sana Bila kutumia Nguvu kubwa...!!!! Meir Dagan, Tamir Pardo, Efraim Havel, na Sasa David Barnea... Hata Muajemi mwenyewe anajua hawezi kufurukita mbele ya Mzayuni...!!!
Mzayuni ametawaliwa ana na muajemi..hata huyo nabii Esther alikuwa utumwani Iran. Niambie lini mzayuni alimtawala muajemi?
 
Ukisema marekani kashauri sawa lakini wana usongo tu na iran leo kesho.tatizo marekani anaogopa ku expose baadhi ya dhana adim .
 
Back
Top Bottom