Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

To Hell With SADC, AU

Mwite mwizi kwa jina lake.
 
Mugabe Rejects Mandela's Plan

Hata wangemtuma malaika hakuna anayeweza kubadili msimamo wa muuaji kama huyu ambaye tunashuhudia katika karne hii ya 21. Pengine tusingekubali kama tungeambiwa maneno haya miaka 27 iliyopita wakati wanapata uhuru ambao kwa kiasi kikubwa ulichangiwa na Tanzania jinsi alivyobadilisha mwelekeo wa nchi yake.
 
Dua,
kuna mabadiliko ya Katiba ambapo wame-harmonize Presidential and Paliamentary elections, wameongeza kupengele cha succesion kwa Uraisi, na kupunguza/kuondoa nafasi za Wabunge wa kuteuliwa.

Of course the western media has been up reporting it is an amendment to allow Mugabe to hand-pick his succesor. Wana-ignore suala la kuondoshwa kwa madaraka ya Raisi kuteua Wabunge lukuki.

Nadhani kuna some progress being made even though it is a painfull process.
 
jokaKuu

Niliisoma hiyo lakini sikutaka kuiweka kwani ingevuruga mada za CCM na uchaguzi wao. Naona Robert atagombea tena na kushinda halafu atamchagua rafiki yake kumwachia madaraka. Hii ni aibu kwa kweli kwa nini anataka kumrithisha mtu urais?

Nawaonea huruma sana Wazimbabwe lakini wakipata kiongozi mwingine watakwenda upesi sana maana infrastructure yao ya njia za usafiri wa mazao ni nzuri, halafu hawakuuza madini kama sisi makampuni wameacha tu kuchimba.
 
Protectionism propaganda at its best! When the puppet strings snaps back at you Bob pulled it!!!
 
Zim attorney general is charged


Inawezekana huyu ndiyo aliyekuwa akiongoza mashitaka ya Changirai kumpindua Mugabe na wale Canadians, mambo yamemgeukia.
 
Barclays bankrolls Mugabe’s brutal regime


Mwenye macho haambiwi tazama.
 
Zimbabwean dies queuing for visa


How many more should die before Mugabe steps down. Time will tell......
 
Huu ni unyama wa hali ya juu and it's a pity that our government run hand by hand with Brutal dictator Robert Mugabe.It's so sad
I HATE IT!!!!
 
Zimbabwe inflation 'incalculable'





A man leaves the bank after
withdrawing Z$40million in Harare


Cash dispenser haiwezi kukidhi mahitaji yako.
 
SA, Zambia Cut Power Supplies to Country


What is needed now is the fuel line to be cut then R. Mugabe will leave office peacefully.
 
Zimbabwe to print new banknotes

Karibu kwenye uchumi bora wa Robert Mugabe.

Quote of the day 'Mr Mugabe, in a shirt featuring large pictures of himself, mentioned none of this in his speech. “I am 75kg, but I am carrying the weight of 14 million people, babies, ladies fat and thin,” he said. “I dare not abandon them. Every one of them matters to me. Their welfare is my welfare.”
 


In August, President Robert Mugabe's neighbours declined to criticise
Zimbabwe's human rights record.




Tutabanana hapa hapa mimi siendi popote labda mni- DITO.
 
Zimbabwe protesters tear-gassed



Opposition supporters marched
through Harare after the court ruling




Harare kulianza kuwaka moto miaka kadhaa, Nairobi inafuata nyayo, Mogadishu iliungua na kulipuka kabla hawajatahamaki what next ... ... ...
 
UK tycoon 'arrested in Zimbabwe'




Mr van Hoogstraten is accused
of charging rent in foreign currency




Ha ha haaaaa Mugabe amemkamata pabaya atakamuliwa maziwa hadi yatoke.
 
Adadi nasikia alipelekwa kule kwa kazi maamulumu na JK hajawasaidia ama yeye ujanja wake ni Oppression na wizi wa kura baadaye ?Hivi Zimbabwe ni mali ya Mugabe kam Mugabe ama inakuwaje ?
 
..wakati inflation ni kubwa namna hiyo na wananchi wana hali mbaya si ndiyo wakati mzuri wa kufanya uchaguzi na kumuondoa Mugabe?

..nashangaa MDC wanaogopa uchaguzi.
 
..wakati inflation ni kubwa namna hiyo na wananchi wana hali mbaya si ndiyo wakati mzuri wa kufanya uchaguzi na kumuondoa Mugabe?

..nashangaa MDC wanaogopa uchaguzi.

Uchaguzi kama wa Kenya?
 
..wakati inflation ni kubwa namna hiyo na wananchi wana hali mbaya si ndiyo wakati mzuri wa kufanya uchaguzi na kumuondoa Mugabe?

..nashangaa MDC wanaogopa uchaguzi.

Where should Mugabe Go?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…