Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,759
Mwendazake Robert Mugabe aliwatimua Wazungu wote waliokuwa na mashamba makubwa kwa ajili ya Kilimo cha kisasa , na uchumi wako ulikuwa uko juu sana kushinda wa hapa nyumbani.
Mwendazake akawapa Ardhi Yote wale maveterani ambao hata kulima Ekari Moja hawana uwezo sasa Yale mashamba yamekuwa mapori na uchumi wao umeanguka vibaya mno .
Hawa watu wanafikiria na matakore wanatuingiza kwenye balaa la njaa. Ni Bora hata hao Wazungu ambao ni wazaliwa hapo wangebaki . Na kuna Wazungu wako Kenya waliondoka Zimbabwe wanapiga Kazi mbaya hakuna .