Zimbabwe: Basi la Taqwa lapata ajali, dereva apoteza maisha hapo hapo

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Basi la Taqwa limepata ajali eneo la Marongora baada ya Chirundu boader kwa upande wa Zimbabwe. Dereva ambaye ni Mtanzania kapoteza maisha hapo hapo.

Ilikuwa ikitokea Zimbabwe kuja Dar.
Screenshot_20190320-231632~2.png
Screenshot_20190320-231613~2.png
 
Attachments

  • 235866040437270-1553114482341.mp4
    2 MB · Views: 19
Acha uongo we mtu hiyo ajali haijatokea leo ni ya jana,kweli dereva ni mtanzania nyumbani kwake ni iringa sehemu inaitwa mlandege na msiba upo pale..
Marehemu anaitwa juma mbega
 
Acha uongo we mtu hiyo ajali haijatokea leo ni ya jana,kweli dereva ni mtanzania nyumbani kwake ni iringa sehemu inaitwa mlandege na msiba upo pale..
Marehemu anaitwa juma mbega

Kuna mahali ambapo alitaja siku ajali ilipotokea? Soma habari kabla.hujaitolea maoni.
 
Basi la Taqwa limepata ajali eneo la Marongora baada ya Chirundu boader kwa upande wa Zimbabwe. Dereva ambaye ni Mtanzania kapoteza maisha hapo hapo.

Ilikuwa ikitokea Zimbabwe kuja Dar.
View attachment 1050182View attachment 1050183
HAYA MABASIIIII YAMECHOKA.NDUGU HATA HIZO AJALI N MIPANGO YA MUNGU YARYAREKEBISHWE N HATARE SANA WANA UNDUGU NA SP...ZILIZOKUWA UGANDA MVUA IKINYESHA NYIE NDIE MWAMVULI

NA SWALA.LA KUSIMAMA SIJUI ENGN IPOE HILO N KAWAIDA SANAAAAAA

WAKATI.MUAFAKA SUMATRA WANAYAJUA.MWANZO.MWISHO WAYAKAGUE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom