Zima taa!...mwenzio naona aibu!


hapo kwenye red nipo tofauti kidogo,mi naamini raha ni kumfikisha mpenzi wako kileleni hayo mengine ni ziada tu.
 
mitatuuu hiyo... of previous boyfriends. kuna sred ya tatoo hapa. huenda hataki yakukute yanayomkuta jamaa..
 
Mjengee confidence wewe.
Mwambie jinsi gani unapends ngozi yake, jinsi gani unapenda mwili wake, na jinsi gani vinakuhamasisha!

Mwisho wa siku atakuachia na believe anaweza hata akaja kukupa torch uwe unamchungulia kwenye kishimo chake!
Dah!..Athante kwa kweli.
 
miaka 26!...mpenzi wangu wa sasa!!!uliwahi kuwa nao wengine kabla!!hadi uzeeni utakuwa nao wangapi mpiganaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…