Zima taa!...mwenzio naona aibu!

Ha ha ha
There 101 ways za kupekenyua na kuchungulia; unajua moja tu, rudi shule!
Na hapo mbona sijaitaja hata hiyo moja? Au kwako hapo ushaisoma moja? Rudi darasani LOLZ
 
hahaha hata mimi nimemuona anafaa kwenye chama! haya ngoja nikuache uende nae mdog mdogo! Sasa Mwnyekiti Kaizer ngoja kwanza nicheki nae
 
Last edited by a moderator:
I will be back, kwa muda lunch break imeisha na nimerudi darasani! Later
Usisahau kumsalimia mwalimu mkuu. Ukirudi utanikuta PM kule nakusubiri. Ole wako uingie mitini.
 
Nafikiri sijui unampenda kiasi gani ila kikubwa ni kujaribu kukaa nae chini mzungumze na kujua tatizo ni lipi nahisi itakuwa poa zaidi pia nakushauri acha tabia ya kubadili wanawake hovyo.

 

Hiyo ni tabia ya wanawake wengi, hasa wale ambao si wazoefu sana wa ngono. Mwanamke ambaye haonyeshi aibu yoyote huyo amekubuhu na ni malaya. Sasa nashauri chukua jumla, akiingia na kujua wewe ni wake maisha yote, hiyo tabia itaisha.
 
huyo demu atakua na bonge la tatoo kwenye paja, mchunguze vizuri
 
aku babu.....nini kuchunguliana.....sitaki....
 
Khaa bundibundi style!au nataka upite njia ya vumbi?,labda jini anataka kukunyonya damu? Kuwa makin mkuu
 
Hiyo ni tabia ya wanawake wengi, hasa wale ambao si wazoefu sana wa ngono. Mwanamke ambaye haonyeshi aibu yoyote huyo amekubuhu na ni malaya. Sasa nashauri chukua jumla, akiingia na kujua wewe ni wake maisha yote, hiyo tabia itaisha.

Mkeo yupo kwenye kundi gani?
Ushauri uliompa, umesema akiingia na kujua ni yeye maishani hiyo kitu itaisha; sasa aibu ikiisha si tayari atakuwa mzoefu ambaye according to you ni synoname na malaya!
 
Asante mkuu, ila 2nazaidi ya miez miwili sasa na tumeshakutana 0 dstance mara nyngi sana, sijui ndo tatizo la kudumu? Basi nkikataa kuzima naye ananinyima huduma..

Miezi miwili mmeshakutana mara nyingi, hii hatari
 
Mh! Nashukuru sana wana jf kwa ushauri wenu....ila jamani mbna wengne mnafanya utani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…