izo ni dalili kwamba huko mtasota sana hata kufikia kuchoma nyumba za watu kwa makusudi ili mpate allowance, hayo magari yao tu yamechoka ,hao staff wake pale wawaonaje wanavyotia huruma dili hakuna pale shukuru kukosa nafasi yako ipo sehemu nyingine ukoo wenu hauna hata chembe ya uaskari muulize hata babu yako kama yupo