Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
pale ambapo moto umejizimikia wenyewe baada ya kumaliza kulamba mali za watu nao zima moto ndiyo wanajaribu kuuzima..................................ni kichekesho.....
Askari wa kikosi cha zimamoto na Uokoaji cha Halimashauri ya Jiji la Dar es salaam wakipambana kuzima moto uliolipuka na kuteketeza majiko ya soko la Samaki la kimataifa la feli jana chanzo cha moto huo ni mlipuko wa mafuta katika moja ya majiko ya kukaangia samaki.(Picha na Rajabu Mhamila)
Kwa kweli mtu anaeliita hili genge la kuuzia samaki kigamboni eti soko la samaki la kimataifa nadhani kichwani mwake hazimtoshi
Juzi kuna nyumba imeungua Tabata Kimanga- D'salaam, baada ya moto kuzimika wenyewe ndipo Jeshi la zima moto walifika. Nyumba iliteketea hakuna kilichobakia !.Alafu hakuna hata umbali hapazidi hata km 5 pale fire mpk feri sipati picha moto ubgetokea maeneo ya tegeta
kwa tabata kidogo nawatetea mbali alafu miundo mbinu haziwassuport foleni throughout the road,ila kwa soko la samaki kuungua hapo hawana cha msali mtume ni uzembe tu,by the way fire department inabidi ziwepo walau 5 kila wilaya sio dar nzima kutegemea za pale fire.Juzi kuna nyumba imeungua Tabata Kimanga- D'salaam, baada ya moto kuzimika wenyewe ndipo Jeshi la zima moto walifika. Nyumba iliteketea hakuna kilichobakia !.